RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Mkuu wasikupe tabu yule padri Mushi kule zenji ni ishu ya madawa, then wameona waislam ndo wakuwasingizia
Halafu wenye ndugu zao wakidunga RISASI wachungaji wa style kama hizi...kesi zote wanabambikiwa waislamu
Wewe ndio unasema hivyo...lakini matukio haya yapo mengi katika jamii ...viongozi wa dini wanafanya mambo ya ajabu sana....
Kwenye hili tukio ndugu wa hao watoto wangeamua kumshughulikia huyo mchungaji ungesikia kelele humu
Mara UAMSHO,PONDA ,FARIDI,WAVAA VIPEDO
Halafu wenye ndugu zao wakidunga RISASI wachungaji wa style kama hizi...kesi zote wanabambikiwa waislamu
Sina uhakika kama huyu alikuwa na sifa za uchungaji hata atumike ku-justify matumizi ya bumnduki kwenye roho za watumishi wa Mungu........, nimeashindwa kukaa kimya.