Mchungaji apandishwa kizimbani kwa biashara haramu

Mchungaji apandishwa kizimbani kwa biashara haramu

mchungaji mlemavu?????? ...... kweli mganga hajigangi, ma UPAKO yote anaishia kuwaponya wenzie yeye mmmhhh na ulemavu wake?
 
Mi nadhani haya makanisa yanayoanzishwa na kukua kama uyoga kila sehemu yachunguzwe,

Kwa sababu haiwezekani kila kona kanisa, halafu halina kichwa wala miguu,

Siku hizi dini ni biashara, sasa wanapata wapi hela/faida ya kuhudumia makanisa makubwa namna hii! Polisi na intelijensia yao sijui iko wapi?!!!!!!!!!!!
 
Maisha magumu kwa watumishi wa Mungu.Mfano huko kusini Dayosise nasikia wanapewa vijisenti 85000 kwa mwezi.Vipi yakaaje?
 
Wewe ndio unasema hivyo...lakini matukio haya yapo mengi katika jamii ...viongozi wa dini wanafanya mambo ya ajabu sana....

Kwenye hili tukio ndugu wa hao watoto wangeamua kumshughulikia huyo mchungaji ungesikia kelele humu
Mara UAMSHO,PONDA ,FARIDI,WAVAA VIPEDO



woga wako ndo umaskini wako tafakari kwa kina
 
Wanajf huu mwamvuli wa dini unatumika vibaya sana kwa ss. Au inatokana na kutotupiwa jicho na vyombo vya dola kwa kigezo chat uhuru wa kuabudu kikatiba au la. Khofu yangu ipo hata hizi ishu za Kiongozi wa dini fln kauwawa na Watu wa dini fln (udini) inawezekana ikawa propaganda tu lkn tatizo kumbe ni suala la maslahi binafsi baina ya muuaji na muuliwa. Sipingi kwamba udini kwa nchi yetu umeanza kuonekana lkn tuangalie vlvl wahusika hawana private business issue zao. Maana kuna wakati kulikuwa na Habari za kusilitisha kuwa kuna baadhi ya viongozi wa dini ni magwiji wa biashara haramu kama vile madawa ya kulevya, biashara za nyara za serikali, biashara za binadamu n.k. kama mwanajf alietangulia kusema serikali inapaswa kufuatilia kwa umakini mkubwa wa uanzishwaji wa haya makanisa. Mfano mwepesi mm binafsi nilienda sehemu za ubungo kibangu basi juu kbs nilishangaa sn kwa idadi ya makanisa yanayoshindana na idadi ya nyumba za makazi. Je hii inaashilia nn? Isiwe kivuli cha dini kinatumiwa na wajanja kujinufaisha.
 
dini ya sasa haiaminiki bora umuombe mungu kivyako kuliko kufuata matendo ya hao mashetani
 
Halafu wenye ndugu zao wakidunga RISASI wachungaji wa style kama hizi...kesi zote wanabambikiwa waislamu

Sina uhakika kama huyu alikuwa na sifa za uchungaji hata atumike ku-justify matumizi ya bumnduki kwenye roho za watumishi wa Mungu........, nimeashindwa kukaa kimya.
 
Sina uhakika kama huyu alikuwa na sifa za uchungaji hata atumike ku-justify matumizi ya bumnduki kwenye roho za watumishi wa Mungu........, nimeashindwa kukaa kimya.

Ndio maana nikasema wachungaji wa style hii...
Hii ina maana hfai kuwa mchungaji.....
 
Back
Top Bottom