Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Kwanini hawakumuua?
 
Hana jina na kanisa lake halina jina?
Utasubiri sana kusikia hapa majina ya Wachungaji na makanisa wanayoyaongoza.
Mchungaji kwenye habari hiyo jina lake ni Daudi(1 Samweli 16:11-13). Baadaye alikuwa Mfalme(2 Samweli 2:4).
 
mi sijasoma kabisa alichoandika nikakimbilia kukomenti,
Ah! How imperative it is to first absorb and comprehend before venturing to comment. Even the sacred scripture imparts this wisdom, 'Does our law judge a man without first hearing him and knowing what he does?' (John 7:51). Let discernment and careful reflection precede every word we utter.
 
wisdom? How deep is wisdom? Why always use english when replying quoting? Not every one know proper engilish inside jf. It's better to use kiswahili where your structure contex is done
 
Comment yako ni dharau ya waziwazi kwa wanawake. Chunga ulimi wako, mkuu.
Mithali 14:21 SRUV
"Amdharauye mwenzake afanya dhambi.."
ninachotaka ni ukweli, kwa nini uweke picha ya mwanamke wakati we si mwanamke?
 
Usitafute mke kwenye mitandao, utaangukia pua. Muombe Mungu, atakupa mke anayekufaa.
Mithali 19:14 SRUV
"...mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA."
Kwani wa mtandaoni si ni hao hao wa mtaani yaani ni sawa na kumwambia mtu usisome biblia ya mtandaoni ni mbaya.
 
Yaani mimi mke wangu amsikilize Mchungaji au kumthamini, haki ya nani nampa talaka chap chap.....sijui kwanini wanawake wanakuwa easy target kwa wachungaji. Siku zote kwenye haya makanisa ya mchongo wanawake na watoto wao ndiyo wana fall victims.
 
Hv mkuu umeolewa? nataman mke mwenye itikad kama yako hakika watoto watakuwa kwenye misingi imara.
Utagongewa mno na machalii wa Church.... na kama yuko kwenye haya makanisa ya watu binafsi wewe utakuwa second-in-command baada ya baba mchungaji ambaye yeye humwita Daddy.
 
Tatizo la mental illness
 
Dear Setfree, what is your gender?
Esteemed interlocutor, your inquiry, though perhaps well-intentioned, diverges from the thematic essence of our discourse. Might we, instead, redirect our cognitive energies toward the matter at hand, that our exchange may yield intellectual and spiritual edification? May our dialogue be imbued with wisdom and purpose.
 
Tatizo la mental illness
It is most unfortunate that in the face of nuanced discourse, one would resort to the precipitous mischaracterization of divergent perspectives as symptomatic of psychological aberration. Such a disposition evinces an unfortunate proclivity for epistemic closure, whereby ideas that challenge one's cognitive schema are summarily dismissed rather than critically engaged. The Apostle Paul, in his epistle to the Corinthians, astutely observed: "But the natural man receiveth not the things of the Spirit of God: for they are foolishness unto him: neither can he know them, because they are spiritually discerned" (1 Corinthians 2:14, KJV). This verse poignantly underscores the cognitive dissonance that often accompanies profound truths—an affliction not of the mind, but of the spirit unwilling to embrace the transcendent. Perhaps a more judicious approach would be to engage in reasoned dialectic rather than facile derision. Intellectual fortitude is not demonstrated through dismissal, but through the willingness to wrestle with the profundity of ideas beyond one’s immediate grasp.
 
Someone said you are a man and I wanted to know the truth about your gender.. If you don't clarify your gender, you will give victory to the person who said you are a man pretending to be a woman. The question will remain "why are you pretending to be a woman when you are a man?"
 
Hv mkuu umeolewa? nataman mke mwenye itikad kama yako hakika watoto watakuwa kwenye misingi imara.
Una uhakika kuwa ni mwanamke au umevutiwa tu na hiyo picha ya kutoka photo shop?

Itakuwa u mgeni hapa 🤣
 
Mental health problem..hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…