Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Truth does not need my defense, nor does silence grant victory to speculators. I have nothing to prove to those who question in bad faith. Those who seek truth with sincerity will find it, while those who choose speculation over understanding will believe whatever they wish. In the end, integrity prevails over doubt.
 
Mchungaji Daudi, mchungaji aliyependwa na Mungu, ni kupitia viuno vya mchungaji huyo anapatikana Mkombozi wa ulimwengu naye anaitwa Simba wa kabila la Yuda yaani mwana wa Daudi ambaye ni Yesu Kristo. Bila kusahau huyu ndiye mchungaji maarufu aliyemsifu Mungu kwa viwango vya juu kabisa
 
Hongera mkuu, una jina linalofanana na huyo king David.
Mimi huyo nampongeza sana; alipotambua amefanya dhambi alitubu saa hiyohiyo. Baadaye akaimba Zaburi ya 51. Zaburi ya Toba.
 
Man can be men or woman,you were suppose to ask if she is a men??
 
Mental health problem..hahaha
Mental Problems Song 🙂
(Verse 1)
They say I have mental problems, but can’t you see?
How can I preach if my mind isn’t free?
I read the Word, and I understand,
If I had no mind, how could I stand?

(Verse 2)
I testify boldly, they call me insane,
But how do I speak with wisdom so plain?
I know my Savior, His truth I proclaim,
If I had no reason, how could I explain?

(Verse 3)
I walk in His power, I live in His grace,
If my mind was gone, how’d I run this race?
Jesus has touched me, renewed my soul,
If I had no peace, how am I whole?

(Verse 4)
Call the real people with mental problems,
I will pray for them, Jesus will heal them.
His love is mighty, His power is strong,
He heals the sick and makes them belong.

(Verse 5)
If I have mental problems, then tell me now,
How could I write a song this sweet somehow?
These words have meaning, this tune is real, Jesus restores, His love I feel!

Hahaa, enjoy the song
 
Hv mkuu umeolewa? nataman mke mwenye itikad kama yako hakika watoto watakuwa kwenye misingi imara.
Usije ukajaribu! Utashindia vipolo vya wali na ugali kila siku. Ukimuuliza atakuambia yuko kwenye maombi, amemsindikiza mchungaji kwenye kongamano la wiki moja la kumuombea Rais samia! Usiku atakuambia anaenda kwenye mkesha wa maombi kanisani, kurudi ni asubuhi!

Muda wote nyumbani ni kelele tu za kukemea mapepo!! Aisee hutaweza.
 
Duuh, kama mke wako yuko hivyo, mwambie anione nimpe ushauri muhimu kuhusu ndoa. Asije akaibomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe.
 
Katika kibaya huwa na kizuri chake! Kama isingekuwa hivyo, tungempata wapi sulemani? Mtu mwenye hekima, haijawahi kutokea na wala haitakujakutokea!

Kama isingekuwa hayo mnayoita dhambi, Rahab angekamilishaje ile SPY plot ya Joshua, kuingia Kanaani ita inchi ahaadi.

Kama insingekuwa hayo mnayoita dhambi, Yuda angetembeaje na mkwe wake, aliyevaa kikahaba, chanzo cha kuzaliwa Daudi baba wa Kristo.

Hivyo, huenda ngono inategemeana ni mkutadha upi, unaiendea.
 
Nimependa jinsi umeuleta huu ujumbe, ubarikiwe sana
 
You are misusing the Bible to bring teachings without identifying your gender. It would be good if you removed the picture you are using to identify yourself to help stakeholders understand that they are reading an article by someone whose gender is unknown.
 
Hongera mkuu, una jina linalofanana na huyo king David.
Mimi huyo nampongeza sana; alipotambua amefanya dhambi alitubu saa hiyohiyo. Baadaye akaimba Zaburi ya 51. Zaburi ya Toba.
Yes, unajua maana ya hilo jina? beloved one, yaani aliyependwa yaani ukipendwa makosa yako yanafukiwa,
 
Yes, unajua maana ya hilo jina? beloved one, yaani aliyependwa yaani ukipendwa makosa yako yanafukiwa,
Kweli kabisa, makosa ya Daudi yalifukiwa. Ndio maana watu wametaharuki baada ya kusikia kuwa Daudi naye alifanya dhambi!!
 
Kweli kabisa, makosa ya Daudi yalifukiwa. Ndio maana watu wametaharuki baada ya kusikia kuwa Daudi naye alifanya dhambi!!
Dhambi sio tatizo, hata Mungu anajua hatuwezi kushinda pasipo yeye, shida ni kuendelea kutenda dhambi bila hofu, na kuwa mkaidi unapoelekezwa juu ya dhambi yako.

Daudi alikuwa mnyenyekevu aliambiwa makosa yake. shida yetu kubwa ni kujitetea kama alivyofanya Adamu

Hesabu 23:21- Anasema Mungu hakuangalia uovu wala ukaidi wa Yakobo bali alikuwa pamoja naye
 
Duh, stakeholders!
 
mkuu kwani huyu si dada mchungaji, au ni kaka mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…