Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Mchungaji ni kuhani wa Sasa...

Daudi alikuwa mfalme wa Israel sio kuhani.
 
Ukamatwe kwa nguvu upelekwe milembe!
 
mkuu kwani huyu si dada mchungaji, au ni kaka mchungaji
Avatar na mwandiko wake vinapingana, avatar inamtambulisha kama mdada kutoka Google photo shop, mwandiko unamtambulisha kama mkaka asiye na malengo yoyote ya maisha zaidi ya kunakiri matukio na kuyasambaza hapa huku akiiga tabia za kichungaji...

Au wewe wadhani huyo ni mkaka au mdada mchungaji?
 
Dada mchungaji, au tumuite aje athibitishe mwenyewe Setfree
 
Picha ya kipigo iko wapi
 
Nimekuja mbio nikadhani tukio kumbe hadithi.
 
Dah umejua kunishushua dada maana nilifurahia kipigo cha huyo kaka tapeli ,ghafla bin vuu ukaanza kunishushua
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…