Ngoja nimuulize Geoff - hapana, yule ni mlei. Fidel?... Katekista. Nguli?.... Mkatekumeni. JS?.... Sista yule. Dah! Nani sasa? Mj1? Anaweza kuwa WAWATA yule. Ahaa. Charity............! Wapi Charity atufafanulie hii kitu? Ngoja niingie hewani fasta.
Mchungaji ni lazima aoe kibiblia.sijui yuko wapi when we need her the most?
manake logically anaishije kiseja na anatakiwa kuhubiria watu wengine wenye ndoa zao..aah sielewi bana sijui wenyewe wako wapi watusaidie
Hehehe! Hommie naona ulifanya ze nidful kwa mamushka kule. You ave very fast kwenye logistics!mmh.. I doubt kama ataweza..shemeji yangu huyu,...basi tu!
you can say it AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!secretariiiiiii.nitembezee taska za kopo kabla serengeti hawajachukua kiwanda please...lol!wewe utulivu WA KWENYE KEYBOARD ni Zero apo...
Ngoja nimuulize Geoff - hapana, yule ni mlei. Fidel?... Katekista. Nguli?.... Mkatekumeni. JS?.... Sista yule. Dah! Nani sasa? Mj1? Anaweza kuwa WAWATA yule. Ahaa. Charity............! Wapi Charity atufafanulie hii kitu? Ngoja niingie hewani fasta.
shemeji vipi unanionea mashaka? Nimekuwa na wewe muda wote hujanijua tu Tomaso?Jibu lipo hapo juu nadhani sijaenda ofutopik.mmh.. I doubt kama ataweza..shemeji yangu huyu,...basi tu!
Mchungaji ni lazima aoe kibiblia.
ukisoma maandiko yanasema shemasi/askofu(nimeweka mchungaji pia) awe mume wa mke mmoja.......
soma Tito 1:6-9 ; 1Tim3:1-13
Mi kusoma katikati ya mistari nshashindwaga tangu zamani. Kipi kinatangulia hapo sasa. Uchungaji au ndoa?kama ni hivyo, ilikuwaje wakampa uchungaji? hili kanisa la Dodoma iabidi tulitilie mashaka sio?
Shemeji,naomba ujue jambo moja, as far as I know hakuna hata kanisa moja linalofuata maandiko yote jinsi yalivyo katika mabible.na hii ndiyo sababu ya utitiri wa makanisa.Biblia inachanganyan sana mpka tu Uwe kweli umejaa Roho wa Bwana.Andiko moja tu linaweza kutafsriwa tofauti na watu 2.kama ni hivyo, ilikuwaje wakampa uchungaji? hili kanisa la Dodoma iabidi tulitilie mashaka sio?
Hehehe! Hommie naona ulifanya ze nidful kwa mamushka kule. You ave very fast kwenye logistics!
HAPO lazima UTONGOZAJI UANZE!ππMi kusoma katikati ya mistari nshashindwaga tangu zamani. Kipi kinatangulia hapo sasa. Uchungaji au ndoa?
Mie leo ni lijendi,Ninadili na LUKUVI mpaka kieleweke.Nimekuja mara moja kwa ajili ya upendo wangu kwa Wapwaz!
teh teh! Long live wapwaz!
EN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............Shemeji,naomba ujue jambo moja, as far as I know hakuna hata kanisa moja linalofuata maandiko yote jinsi yalivyo katika mabible.na hii ndiyo sababu ya utitiri wa makanisa.Biblia inachanganyan sana mpka tu Uwe kweli umejaa Roho wa Bwana.Andiko moja tu linaweza kutafsriwa tofauti na watu 2.
Na kuhusu hilo kanisa kumruhusu huyo mchungaji bila kuwa na mke mimi na wewe hatuwezi jua sababu stori haipo kamili.Inawezekana huyo mchungaji ni mjane.
Inategemea.Lakini kama mtu anampango wa kuwa mchungaji ni vema ajitayarishe na masuala ya mke kabisa.lakini akifiwa hili ni jambo jengine.Mi kusoma katikati ya mistari nshashindwaga tangu zamani. Kipi kinatangulia hapo sasa. Uchungaji au ndoa?
noted!....twenty ten! Kijasiriamali zaidi!
Mwaka unaondoka huo! Stukeni!march hiyooooooooooooo! .
Lakini si unaona inavyosaidia.Hawa wanasiasa ndio wanatuharibia nchi.lakini wangepewa mainji we ungeona nchi ambavyo ingekuwa bomba.kila kitu kingekuwa maintagresheni na madiferensiensheniEN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............
lakini when it comes to ''MAISHA YA KIROHO''!....do we still base on assumptions?ππLakini si unaona inavyosaidia.Hawa wanasiasa ndio wanatuharibia nchi.lakini wangepewa mainji we ungeona nchi ambavyo ingekuwa bomba.kila kitu kingekuwa maintagresheni na madiferensiensheni
Haya nenda page ya pili utuwekee mambo sawa. Kuna kitu kilitutatiza.hahaaaa B na yeye siku hizi kwa kuninyatia mmmmmm!!!!!!!!!
Mi nawaangalieni tu. Muda si mrefu mtaingia kwenye IGNORE LIST yangu.sio leo tu huu msimu wa march umeamua kuungana na masaki na kuwa wafia nchi, twende mwaya na mie nyuma yako.....!!!!
Hahaha! Una assume baadhi ya mambo na kuneglect vingine then solution inapatikanaEN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............
Mpeni Kaizari yaliyo ya Kaizari na Mungu yaliyo ya Mungu. Na hapo kwa Kaizari tunamsubiri Mamushka afanye ze niidful. Ni lazima prezidaa awe na waifu?Inategemea.Lakini kama mtu anampango wa kuwa mchungaji ni vema ajitayarishe na masuala ya mke kabisa.lakini akifiwa hili ni jambo jengine.
Kama mtu hawezi kuwa Raisi wa nchi (TZ) bila kuwa na mke ndio iwe haya mambo ya kiroho?Jamani mke ana mchango mkubwa sana na maana kubwa sana unappokuja kwenye masuala ya kuchunga kondoo.
sio leo tu huu msimu wa march umeamua kuungana na masaki na kuwa wafia nchi, twende mwaya na mie nyuma yako.....!!!!