Mchungaji asimamishwa kwa uzinzi

Mchungaji asimamishwa kwa uzinzi

Ngoja nimuulize Geoff - hapana, yule ni mlei. Fidel?... Katekista. Nguli?.... Mkatekumeni. JS?.... Sista yule. Dah! Nani sasa? Mj1? Anaweza kuwa WAWATA yule. Ahaa. Charity............! Wapi Charity atufafanulie hii kitu? Ngoja niingie hewani fasta.

mmh.. I doubt kama ataweza..shemeji yangu huyu,...basi tu!
 
sijui yuko wapi when we need her the most?

manake logically anaishije kiseja na anatakiwa kuhubiria watu wengine wenye ndoa zao..aah sielewi bana sijui wenyewe wako wapi watusaidie
Mchungaji ni lazima aoe kibiblia.
ukisoma maandiko yanasema shemasi/askofu(nimeweka mchungaji pia) awe mume wa mke mmoja.......
soma Tito 1:6-9 ; 1Tim3:1-13
 
wewe utulivu WA KWENYE KEYBOARD ni Zero apo...
you can say it AGAIN AND AGAIN AND AGAIN!secretariiiiiii.nitembezee taska za kopo kabla serengeti hawajachukua kiwanda please...lol!
 
Ngoja nimuulize Geoff - hapana, yule ni mlei. Fidel?... Katekista. Nguli?.... Mkatekumeni. JS?.... Sista yule. Dah! Nani sasa? Mj1? Anaweza kuwa WAWATA yule. Ahaa. Charity............! Wapi Charity atufafanulie hii kitu? Ngoja niingie hewani fasta.

Mie leo ni lijendi,Ninadili na LUKUVI mpaka kieleweke.Nimekuja mara moja kwa ajili ya upendo wangu kwa Wapwaz!
teh teh! Long live wapwaz!
 
Mchungaji ni lazima aoe kibiblia.
ukisoma maandiko yanasema shemasi/askofu(nimeweka mchungaji pia) awe mume wa mke mmoja.......
soma Tito 1:6-9 ; 1Tim3:1-13

kama ni hivyo, ilikuwaje wakampa uchungaji? hili kanisa la Dodoma iabidi tulitilie mashaka sio?
 
Mi kusoma katikati ya mistari nshashindwaga tangu zamani. Kipi kinatangulia hapo sasa. Uchungaji au ndoa?
 
Shemeji,naomba ujue jambo moja, as far as I know hakuna hata kanisa moja linalofuata maandiko yote jinsi yalivyo katika mabible.na hii ndiyo sababu ya utitiri wa makanisa.Biblia inachanganyan sana mpka tu Uwe kweli umejaa Roho wa Bwana.Andiko moja tu linaweza kutafsriwa tofauti na watu 2.
Na kuhusu hilo kanisa kumruhusu huyo mchungaji bila kuwa na mke mimi na wewe hatuwezi jua sababu stori haipo kamili.Inawezekana huyo mchungaji ni mjane.
 
Hehehe! Hommie naona ulifanya ze nidful kwa mamushka kule. You ave very fast kwenye logistics!

hahaaaa B na yeye siku hizi kwa kuninyatia mmmmmm!!!!!!!!!
 
Mie leo ni lijendi,Ninadili na LUKUVI mpaka kieleweke.Nimekuja mara moja kwa ajili ya upendo wangu kwa Wapwaz!
teh teh! Long live wapwaz!

sio leo tu huu msimu wa march umeamua kuungana na masaki na kuwa wafia nchi, twende mwaya na mie nyuma yako.....!!!!
 
Shemeji,naomba ujue jambo moja, as far as I know hakuna hata kanisa moja linalofuata maandiko yote jinsi yalivyo katika mabible.na hii ndiyo sababu ya utitiri wa makanisa.Biblia inachanganyan sana mpka tu Uwe kweli umejaa Roho wa Bwana.Andiko moja tu linaweza kutafsriwa tofauti na watu 2.
Na kuhusu hilo kanisa kumruhusu huyo mchungaji bila kuwa na mke mimi na wewe hatuwezi jua sababu stori haipo kamili.Inawezekana huyo mchungaji ni mjane.
EN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............
 
Mi kusoma katikati ya mistari nshashindwaga tangu zamani. Kipi kinatangulia hapo sasa. Uchungaji au ndoa?
Inategemea.Lakini kama mtu anampango wa kuwa mchungaji ni vema ajitayarishe na masuala ya mke kabisa.lakini akifiwa hili ni jambo jengine.

Kama mtu hawezi kuwa Raisi wa nchi (TZ) bila kuwa na mke ndio iwe haya mambo ya kiroho?Jamani mke ana mchango mkubwa sana na maana kubwa sana unappokuja kwenye masuala ya kuchunga kondoo.
 
EN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............
Lakini si unaona inavyosaidia.Hawa wanasiasa ndio wanatuharibia nchi.lakini wangepewa mainji we ungeona nchi ambavyo ingekuwa bomba.kila kitu kingekuwa maintagresheni na madiferensiensheni
 
lakini when it comes to ''MAISHA YA KIROHO''!....do we still base on assumptions?😀😀
 
wanazini sana tuuu, huyu ilikuwa bahati mbaya au 40 yake ilifika
 
hahaaaa B na yeye siku hizi kwa kuninyatia mmmmmm!!!!!!!!!
Haya nenda page ya pili utuwekee mambo sawa. Kuna kitu kilitutatiza.

sio leo tu huu msimu wa march umeamua kuungana na masaki na kuwa wafia nchi, twende mwaya na mie nyuma yako.....!!!!
Mi nawaangalieni tu. Muda si mrefu mtaingia kwenye IGNORE LIST yangu.

EN-..G..ERS TEND TO DERIVE KILA KITU kwa kubase kwenye assumptions!............
Hahaha! Una assume baadhi ya mambo na kuneglect vingine then solution inapatikana

Inategemea.Lakini kama mtu anampango wa kuwa mchungaji ni vema ajitayarishe na masuala ya mke kabisa.lakini akifiwa hili ni jambo jengine.
Kama mtu hawezi kuwa Raisi wa nchi (TZ) bila kuwa na mke ndio iwe haya mambo ya kiroho?Jamani mke ana mchango mkubwa sana na maana kubwa sana unappokuja kwenye masuala ya kuchunga kondoo.
Mpeni Kaizari yaliyo ya Kaizari na Mungu yaliyo ya Mungu. Na hapo kwa Kaizari tunamsubiri Mamushka afanye ze niidful. Ni lazima prezidaa awe na waifu?
 
sio leo tu huu msimu wa march umeamua kuungana na masaki na kuwa wafia nchi, twende mwaya na mie nyuma yako.....!!!!

B hebu do ze nidiful...nchi hii anaruhusiwa rais bila mke?
 
Back
Top Bottom