Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Mchungaji James Ng'ang'a wa nchini Kenya, anetishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kila jumapili kwa njia ya Mpesa.
Mchungaji aliamua kuanzisha ibada zake zinazooneshwa live kupitia Facebook baada ya Nchi kuwa katika lockdown.
Aliwataka waumini kuwa wawe wanatua kiwango kinachoanzia 1,000Ksh, ambayo ni sawa na 20,000Tsh kila jumapili wanapokuwa wakifanya ibada live kutumia mtandao wa facebook.
Mchungaji aliwaambia waumini wake kuwa Janga la corona lisiwe sababu ya kushindwa kutoa sadaka. Atakayekaidi asikanyage tena kanisani kwake.