Mchungaji atishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kwa Mpesa kila Jumapili

Mchungaji atishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kwa Mpesa kila Jumapili

Huyu mzee kwa kuwatukana na kuwagombeza waumini wake hajambo
Ajabu ni kwamba wanaendelea kupambana tu humo kanisani mwake bila kuhama
 
Mungu kajificha sana, inasababisha watu wake kushikiwa masikio na ma-Ng'ang'a.
Aibuke once na kukemea hawa mutu.
 
Mchungaji James Ng'ang'a wa nchini Kenya, anetishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kila jumapili kwa njia ya Mpesa.

Mchungaji aliamua kuanzisha ibada zake zinazooneshwa live kupitia Facebook baada ya Nchi kuwa katika lockdown.

Aliwataka waumini kuwa wawe wanatua kiwango kinachoanzia 1,000Ksh, ambayo ni sawa na 20,000Tsh kila jumapili wanapokuwa wakifanya ibada live kutumia mtandao wa facebook.

Mchungaji aliwaambia waumini wake kuwa Janga la corona lisiwe sababu ya kushindwa kutoa sadaka. Atakayekaidi asikanyage tena kanisani kwake.View attachment 1443544
Wenye akili wanaelewa anachomaanisha! Kazi kwao.
 
Back
Top Bottom