Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Mchungaji James Ng'ang'a wa nchini Kenya, anetishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kila jumapili kwa njia ya Mpesa.
Mchungaji aliamua kuanzisha ibada zake zinazooneshwa live kupitia Facebook baada ya Nchi kuwa katika lockdown.
Aliwataka waumini kuwa wawe wanatua kiwango kinachoanzia 1,000Ksh, ambayo ni sawa na 20,000Tsh kila jumapili wanapokuwa wakifanya ibada live kutumia mtandao wa facebook.
Mchungaji aliwaambia waumini wake kuwa Janga la corona lisiwe sababu ya kushindwa kutoa sadaka. Atakayekaidi asikanyage tena kanisani kwake.View attachment 1443544
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁walokole wanavituko jamanMchungaji James Ng'ang'a wa nchini Kenya, anetishia kuwafukuza waumini wake watakaokataa kutuma sadaka kila jumapili kwa njia ya Mpesa.
Mchungaji aliamua kuanzisha ibada zake zinazooneshwa live kupitia Facebook baada ya Nchi kuwa katika lockdown.
Aliwataka waumini kuwa wawe wanatua kiwango kinachoanzia 1,000Ksh, ambayo ni sawa na 20,000Tsh kila jumapili wanapokuwa wakifanya ibada live kutumia mtandao wa facebook.
Mchungaji aliwaambia waumini wake kuwa Janga la corona lisiwe sababu ya kushindwa kutoa sadaka. Atakayekaidi asikanyage tena kanisani kwake.View attachment 1443544
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wapo kazini wametumwa hela.
Basi wasiwe wanatumia roho kawatumaWatu wapo kazini wametumwa hela.
Ni biashara kama biashara nyingine.Ulokole ni ulevi mmoja mbaya sana, hapo utashangaa waumini wanavyohangaika kutuma hiyo sadaka ili wasifukuzwe kanisani.