Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Una uhakika kwa kunukuu haya?
Hebu soma na hii kuhusu kusitiri
Katika Qur'an, kumsitiri mtu kwa mabaya yake au kuficha aibu za wengine ni tendo linalohimizwa, hasa linapofanyika kwa nia ya kuleta upendo, msamaha, na kulinda heshima ya mtu. Uislamu unasisitiza juu ya kusitiri makosa ya watu badala ya kuyafichua hadharani, isipokuwa pale ambapo mabaya hayo yanaathiri jamii au haki zinahitaji kutekelezwa.

Aya na mafundisho muhimu yanayohusiana na kusitiri mabaya ya mtu ni pamoja na:

1. Surat An-Nur (24:19)
"Hakika wale wanaopenda (au kutamani) uchafu uenee miongoni mwa walioamini, watakuwa na adhabu chungu katika dunia na Akhera."
Aya hii inaonya dhidi ya kueneza uchafu au aibu za watu kwa sababu inaweza kusababisha madhara kwa mtu binafsi na jamii.


2. Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W.)
Mafundisho ya Mtume yanasisitiza sana umuhimu wa kusitiri aibu za wengine:

"Mwenye kusitiri (aibu ya) Muislamu, Mwenyezi Mungu atamsitiri (aibu yake) Siku ya Kiyama." (Sahih Muslim)
Hii inaonyesha kwamba kuficha aibu za watu ni tendo linalothawabishwa, na Mwenyezi Mungu atalipa kwa huruma Siku ya Hukumu.



3. Surat Al-Hujurat (49:12)
"Enyi mlioamini! Jiepusheni sana na dhana, kwani baadhi ya dhana ni dhambi, wala msipelelezane, wala msisengenyane..."
Aya hii inakataza kutafuta na kufichua makosa ya watu, ikisisitiza kuheshimu faragha na heshima zao.



Maana na Muktadha

Uislamu unahimiza waumini kuonyesha huruma na upendo kwa kufunika makosa ya wengine badala ya kuyasambaza. Hata hivyo, kama makosa hayo yana madhara kwa watu wengine au haki za watu zinakiukwa, kuna nafasi ya kufichua ili kuhakikisha haki inatendeka. Kusitiri kunapaswa kufanyika kwa nia ya kuimarisha uhusiano wa kijamii na kuleta msamaha, si kwa kufanikisha uovu au kuuficha kwa nia mbaya.
 
Na pia kwenye Bible inasema hivi Biblia inahimiza kusitiri au kufunika makosa ya wengine kwa upendo, badala ya kuyafichua au kuyasambaza kwa nia mbaya. Hii ni sehemu ya maadili ya Kikristo yanayolenga kujenga upendo, huruma, na msamaha kati ya watu. Aya kadhaa zinazohusiana na hili ni pamoja na:

1. Methali 10:12
“Chuki huchochea fitina, bali upendo husitiri makosa yote.”
Hii inamaanisha kwamba chuki inazidisha ugomvi, lakini upendo wa kweli hufunika na kusamehe makosa ya wengine.


2. Methali 17:9
“Afunikaye kosa hupata upendo; lakini yeye aongozaye habari hukosanya rafiki.”
Aya hii inaonyesha kuwa mtu anayesamehe na kufunika kosa huchochea upendo, wakati yule anayesambaza au kufunua mabaya ya wengine huharibu uhusiano.


3. 1 Petro 4:8
“Zaidi ya yote, iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendo husitiri wingi wa dhambi.”
Upendo unasisitizwa kama nguvu ya kufunika dhambi, kuonyesha huruma, na kulinda heshima ya wengine.


4. Yakobo 5:20
“Na ajue ya kwamba yeye amrejezaye mwenye dhambi kutoka katika kosa la njia yake ataokoa roho na mauti, naye atafunika wingi wa dhambi.”
Hii inahimiza juhudi za kuwarejesha wenye dhambi na kufunika dhambi zao kwa nia ya wokovu na upatanisho.



Kwa hivyo, kusitiri mabaya ya mtu kwa nia njema ni tendo la upendo na msamaha, siyo kuficha uovu ili kuufanikisha. Inapaswa kufanyika kwa hekima, msukumo wa kumjenga mtu, na kwa ajili ya kuleta amani.
 
Ndombolo kanisani usagaji urembo utanashati ushoga usagaji woote kwaya waimbaji na hata wachungaji wamo maana ndiyo mnaongoza kulivunja neno la bwana. Simameni kwenye kweli haya hayatakuwepo. Kwani yanaweza yakaw magugu kwenye ngano ya bwana.
 
Baada ya huyu kuna yule wakiume anaepaka wana la lips shine anafuata
 
Mchungaji hubiri neno siyo watu. Kama kweli Martha ana changamoto na unafahamu umechukua hatua gani kumsaidia? Au kumfanya mahubiri yako ndo kumsaidia? Shame on you
 
Ndombolo kanisani usagaji urembo utanashati ushoga usagaji woote kwaya waimbaji na hata wachungaji wamo maana ndiyo mnaongoza kulivunja neno la bwana. Simameni kwenye kweli haya hayatakuwepo. Kwani yanaweza yakaw magugu kwenye ngano ya bwana.
Dada wa ICU atema cheche

Watch Video
 

Attachments

  • FDownloader.Net_AQMKyBnvtIgbztuWuwatpm6q6DIoqGFJ0VMSIr_FAnHejbj2bgE_iuHad0r_K6oPPFYyT-i7v4syhc...mp4
    8.4 MB
Kuna lesbian mmoja kaniambia siku hizi kaacha kunyonya vinembe kwasababu many coochies stink.
 
Kuna siku zamani kidogo mtu aliandika comment hapa JFya hili jambo nikahisi ni hater na hakuna aliyeichukulia serious hiyo comment leo tena nasikia haya🤔🤔
Mange mmbea wa taifa alishasemaga hili kitambo sana.
 
Wanatuponza bwana huoni jua lilivyo kali?
 

Sijaona mahali kayaja Martha Mwaipaja
 
Longani huwezi kumuita mchungaji fake, hili ni jabali la Injili.
Sio mchumia tumbo ni mtj humble sana.
1. Ni mkweli sana
2. Mkemea dhambi
Note: babake ni Muisrael na nduguze wote wana uwezo mkubwa tu wa kifedha lkn amechagua injili
Kwa hiyo Longani ni mjukuu wa Yakobo?
 
Hivi kwa nini mnaziita hadithi?hadithi si ni simulizi za kutunga na kufikirika?
 
Inawezekana huyo mchungaji alisagwa kama ni kweli amesema hayo maana nimesoma title tu. Inabidi na yeye atubu. Vinginevyo ni mchungaji mpenda kiki na mchumia tumbo.
Umewaza kama mimi. Huyu kuna mahali kapigwa tukio, kaona hakuna namna zaidi ya kumchafua. Kapoteza muda.
 
Bila ya koneksheni yake hii post ni bure kabisa.

wekeni ushahidi wa video tupate kusadiki kuwa ni kweli mnacho-KINENA
Umesema vyema mm Hadi nione video au hata picha za ushahidi na sio kusema Tu bure kama ushahidi tunao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…