Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Mashariki mwa Uganda, kundi la Waislamu wenye itikadi kali limemuua Mchungaji Weere Mukisa, mke wake Annet Namugaya, na watoto wao wawili, Judith (7) na Sylvia (4), kwa kuwachomea nyumba usiku baada ya Mchungaji kubadili imani ya Waislamu watatu kuwa Wakristo. Tukio hili lilitokea saa 9 alfajiri tarehe 13 Oktoba katika kijiji cha Kibale, Wilaya ya Namutumba. Mchungaji Mukisa, 30, alikuwa akipokea vitisho tangu ubadilishaji huo mwezi Septemba. Polisi wanachunguza tukio hilo huku jamii ikihitaji sala na haki.


Katika tukio jingine, Hidaaya Nabafa, mama wa watoto watatu, alishambuliwa kwa asidi na mume wake, Juma Nsibambi, baada ya kugeuka Mkristo. Nabafa alipata majeraha makubwa yanayohitaji matibabu ya muda mrefu na upasuaji wa kurekebisha ngozi. Matukio haya yanaonyesha kuongezeka kwa mateso dhidi ya Wakristo nchini Uganda, ingawa katiba inatoa uhuru wa kidini.

====

In Eastern Uganda, an Islamist mob killed Pastor Weere Mukisa, his wife Annet Namugaya, and their two young daughters, Judith, 7, and Sylvia, 4, by setting their home on fire after the pastor converted three Muslims to Christianity.

The attack occurred at around 3 a.m. on Oct. 13 in Kibale village, Namutumba District, according to his brother, James Tusubira. Pastor Mukisa, 30, had received threats since the conversions in September.

Tusubira reported seeing flames from the house and, upon reaching the site, found it destroyed with plastic petrol bottles nearby. Police are pursuing the attackers, who are from a nearby village and were known to the pastor. The brutal incident has left the community in shock, with Tusubira calling for prayers and justice.

Husband Attacks Wife with Acid for Converting to Christianity

In a separate incident in Nankoma, Bugiri District, Hidaaya Nabafa, a 27-year-old mother of three, was severely beaten and doused with acid by her husband after she admitted her new Christian faith.

Nabafa, who converted in August, had attended a worship service on Oct.9, which angered her husband, Juma Nsibambi. He assaulted her and poured battery acid on her, causing severe burns that will require ongoing treatment and reconstructive surgery.

These attacks underscore the increasing persecution of Christians in Uganda. Although Uganda’s constitution guarantees religious freedom, reports of violence against converts are mounting. Muslims comprise no more than 12% of Uganda’s population, with most concentrated in the East.

cbn.com
 
Hili halikubaliki
Hii haikubaliki kweli, lakini tatizo ni baadhi ya waislamu wanaotafsiri maandiko ndivyo sivyo. Viongozi wa dini wa kiislamu wanapaswa kufanyia kazi hilo. Sehemu nyingi kuna matatizo ya hizi tafsiri

Wakati mama Samia ameingia madarakani, safari yake ya kwanza kwenda US niliona sehemu masheikh/wale wanaokata suruali wanasema mama Samia kaitwa marekani Kuja kukandamiza haki za waislamu. Kuna tatizo kubwa japo inawezekana kutoka huko
 
Mkristo yeyote anayemuishi Kristo kifo kwake sio kitu sababu tunaamini tunalala ktk Kristo Yesu, kifo na kaburi haviumi.
Ni kweli ila walivyo fanya wa Islam wenzangu kama sababu ni hiyo hayo sio mafundisho ya DINI ya uislam kabisa na haikubaliki.

Na naamin hapo haikifuatwa dini bali mihemko tu.
 
Nadhani kwanza inatakiwa waanziwe kwa hao ama sisi waumini wanafunzi sababu ukute kwenye hao kama kweli wamefanya hivyo sidhanii kama wanaweza wakakupa hata kipande cha muongozo kwanini wamefanya hivyo ila ukweli elimu inatakiwa itolewe sanaa
 
Nadhani kwanza inatakiwa waanziwe kwa hao ama sisi waumini wanafunzi sababu ukute kwenye hao kama kweli wamefanya hivyo sidhanii kama wanaweza wakakupa hata kipande cha muongozo kwanini wamefanya hivyo ila ukweli elimu inatakiwa itolewe sanaa
Wao wana tafsiri zao na wanazinukuu. Ndio maaana niikasemaa viongozi wanatakiwa kufanya kazi kubwa
 
Aisee sio sawa hii.
Kuna yule msichana alietoka uislam kwenda ukristo alitandikwa viboko 100 na ndugu zake hukohuko Uganda.

Dini hizi mmh.
 
Wazungu siwapendi ila kuna muda naona Bora wao ndo wameshika Dunia, sipati picha nchi zenye dola za kiislamu ndo zingekua superpowers, tungesilimishwa wote kwa nguvu, kiufupi tungeisoma namba
 
Wazungu siwapendi ila kuna muda naona Bora wao ndo wameshika Dunia, sipati picha nchi zenye dola za kiislamu ndo zingekua superpowers, tungesilimishwa wote kwa nguvu, kiufupi tungeisoma namba
Yule dada wa Iran alieacha nywele kidogo zikaonekana. Akakamatwa na polisi wanaitwa wa maadili, wakamuulia Kule sero! Ayatolah ni mpumbavu sana!
 
Yule dada wa Iran alieacha nywele kidogo zikaonekana. Akakamatwa na polisi wanaitwa wa maadili, wakamuulia Kule sero! Ayatolah ni mpumbavu sana!
Kuna dada Indonesia nadhani alikua anajifanya Instagram influencer sijui, akapost anakula kitimoto huku Akisema Bismillah kabla ya kula, aisee wamemfunga miaka miwili mpaka Leo tupo jela😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…