Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

"EDUCATION is the most powerful weapon which you can use to change the WORLD"
"NELSON MANDELA"

Shida hv viumbe vimeamini kwenye madrasa na bikra 72 pekee.

Hawa watu uelewa wao ni mdogo sana na wanaishi miaka 50 nyuma.
 
Hivi unaisoma biblia vzr ama na ww ni nyumbu kama nyumbu wengine
Umeshawahi kusikia mkristo amemuuwa mtu kisa kabadili dini
Kwa kifupi tu tunayaelewa na kuyajua zaidi ayo maandiko ya biblia kuliko mnavyoyaelewa nyie.
 
Hicho chanzo ni uongo mtupu, ukisoma habari zake zote ni uzushi mtupu, wanazusha wakristo wengi wanaingia Uislam.

Hao waongo tu wapika majungu.
[/QUOT] Utakuwa una PhD ya ubishi au unavinasaba vya Kasulu au Ujiji.
 
Hujuagi unachoongea, Jitahidi uwe unatumia hata dictionary

Kilichofanyika ni waislam kuwa waoga ukristo unasambaa kijijini CHRISTOPHOBIA

Kwao suluhisho ni KUUA
Uzushi tu huo.

Uislam unatufundisha ukiuwa mmoja ni kama umeuwa dunia nzima na yukinusuru mmoja ni kama umenusuri dunia nzima. Hakuna Muislam anaeweza kuiwacha pepo kwa kwenda kuuwa yeyote ambae hjahukumiwa kifo.

Biblia ndiyominafundisha mauwaji.

Bisha.
 
Qur'an, verse 5:32, "Whoever kills a person not in retaliation for a person killed, nor (as a punishment) for spreading disorder on the earth, is as if he has killed the whole of humankind".

Hii verse huwa mnaitafsiri kwa kuchakachua,haina maana hiyo unayotaka kuileta hapa .
 
Umeshawahi kusikia mkristo amemuuwa mtu kisa kabadili dini
Kwa kifupi tu tunayaelewa na kuyajua zaidi ayo maandiko ya biblia kuliko mnavyoyaelewa nyie.
Ubishi wa kitoto huo. Kabisome nilichoandika, au unaboisha nilichoandika?
 
Qur'an, verse 5:32, "Whoever kills a person not in retaliation for a person killed, nor (as a punishment) for spreading disorder on the earth, is as if he has killed the whole of humankind".

Hii verse huwa mnaitafsiri kwa kuchakachua,haina maana hiyo unayotaka kuileta hapa .
Tutafsirie tu, hapo na kwengine.

Qur'an imekuja kwa walimwengu wote, siyo Waislam pekee.
 
Hawa jamaa hawana akili hata kidogo linapokuja swala la imani au dini wako radhi kufanya chochote ilimuradi wamekaririshwa ujinga kwamba dini yao ndo ya haki,nyingine taka taka.Najuta kuzaa na huyu mwanamke.
Beba wanao tokomea kusikojilikana mjomba
 
Hii haikubaliki kweli, lakini tatizo ni baadhi ya waislamu wanaotafsiri maandiko ndivyo sivyo. Viongozi wa dini wa kiislamu wanapaswa kufanyia kazi hilo. Sehemu nyingi kuna matatizo ya hizi tafsiri

Wakati mama Samia ameingia madarakani, safari yake ya kwanza kwenda US niliona sehemu masheikh/wale wanaokata suruali wanasema mama Samia kaitwa marekani Kuja kukandamiza haki za waislamu. Kuna tatizo kubwa japo inawezekana kutoka huko
Mimi huwa nawaza kuwa Uislam ulianzishwa na watu wenye akili, kupunguza idadi ya watu (population) duniani kupitia uwehu/ukichaa wa dini. Mtu mwenye akili timamu huwezi kufanywa na haya matakataka yanayofanywa kwa kisingizio cha kulinda dini. Unailinda dini kama u awamiliki watu kwani wamekuwa mifugo. Nigeria wameanzisha kikundi kingine cha mauaji.
 
Back
Top Bottom