Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

Lazima utasema hayo. CCM hàta wàkiteka mtu wanasema amejiteka.
Ccm na Chadema wote ni matapeli.

Kuna mlevi wa chadema aligonga gari ya mtu Iringa akakimbia walivyoanza kumkimbiza akakimbilia kupost kuwa kuna watu wanataka kumteka
 
Mashariki mwa Uganda, kundi la Waislamu wenye itikadi kali limemuua Mchungaji Weere Mukisa, mke wake Annet Namugaya, na watoto wao wawili, Judith (7) na Sylvia (4), kwa kuwachomea nyumba usiku baada ya Mchungaji kubadili imani ya Waislamu watatu kuwa Wakristo. Tukio hili lilitokea saa 9 alfajiri tarehe 13 Oktoba katika kijiji cha Kibale, Wilaya ya Namutumba. Mchungaji Mukisa, 30, alikuwa akipokea vitisho tangu ubadilishaji huo mwezi Septemba. Polisi wanachunguza tukio hilo huku jamii ikihitaji sala na haki.
Katika tukio jingine, Hidaaya Nabafa, mama wa watoto watatu, alishambuliwa kwa asidi na mume wake, Juma Nsibambi, baada ya kugeuka Mkristo. Nabafa alipata majeraha makubwa yanayohitaji matibabu ya muda mrefu na upasuaji wa kurekebisha ngozi. Matukio haya yanaonyesha kuongezeka kwa mateso dhidi ya Wakristo nchini Uganda, ingawa katiba inatoa uhuru wa kidini.

====

In Eastern Uganda, an Islamist mob killed Pastor Weere Mukisa, his wife Annet Namugaya, and their two young daughters, Judith, 7, and Sylvia, 4, by setting their home on fire after the pastor converted three Muslims to Christianity.

The attack occurred at around 3 a.m. on Oct. 13 in Kibale village, Namutumba District, according to his brother, James Tusubira. Pastor Mukisa, 30, had received threats since the conversions in September.

Tusubira reported seeing flames from the house and, upon reaching the site, found it destroyed with plastic petrol bottles nearby. Police are pursuing the attackers, who are from a nearby village and were known to the pastor. The brutal incident has left the community in shock, with Tusubira calling for prayers and justice.

Husband Attacks Wife with Acid for Converting to Christianity

In a separate incident in Nankoma, Bugiri District, Hidaaya Nabafa, a 27-year-old mother of three, was severely beaten and doused with acid by her husband after she admitted her new Christian faith.

Nabafa, who converted in August, had attended a worship service on Oct.9, which angered her husband, Juma Nsibambi. He assaulted her and poured battery acid on her, causing severe burns that will require ongoing treatment and reconstructive surgery.

These attacks underscore the increasing persecution of Christians in Uganda. Although Uganda’s constitution guarantees religious freedom, reports of violence against converts are mounting. Muslims comprise no more than 12% of Uganda’s population, with most concentrated in the East.

Dini za mzungu na mwarabu ujinga wa kif*la sana. Kwenye dini zetu kila mtu alikua anaanudu anachokijua yeye na tulikua hatupigani wala mtu mmoja kutoheshimu miungu ya mwingine.
 
Wazungu siwapendi ila kuna muda naona Bora wao ndo wameshika Dunia, sipati picha nchi zenye dola za kiislamu ndo zingekua superpowers, tungesilimishwa wote kwa nguvu, kiufupi tungeisoma namba
Hapa ndipo faida ya USA kuongoza dunia inapoonekana, imagine Iran, Saudia Na wenzao ndo wangekuwa kama USA mambo yangekuwaje
 
Kwanza mna hakika hiyo habari ni ya kweli.??? Mana siku hizi propaganda ni kubwa kuliko uhalisia.

Mtoa mada umechukua tu habari na kuileta hapa hujui wengine wanakaa uganda na hiyo habari hawana.
 
Mashariki mwa Uganda, kundi la Waislamu wenye itikadi kali limemuua Mchungaji Weere Mukisa, mke wake Annet Namugaya, na watoto wao wawili, Judith (7) na Sylvia (4), kwa kuwachomea nyumba usiku baada ya Mchungaji kubadili imani ya Waislamu watatu kuwa Wakristo. Tukio hili lilitokea saa 9 alfajiri tarehe 13 Oktoba katika kijiji cha Kibale, Wilaya ya Namutumba. Mchungaji Mukisa, 30, alikuwa akipokea vitisho tangu ubadilishaji huo mwezi Septemba. Polisi wanachunguza tukio hilo huku jamii ikihitaji sala na haki.

Katika tukio jingine, Hidaaya Nabafa, mama wa watoto watatu, alishambuliwa kwa asidi na mume wake, Juma Nsibambi, baada ya kugeuka Mkristo. Nabafa alipata majeraha makubwa yanayohitaji matibabu ya muda mrefu na upasuaji wa kurekebisha ngozi. Matukio haya yanaonyesha kuongezeka kwa mateso dhidi ya Wakristo nchini Uganda, ingawa katiba inatoa uhuru wa kidini.

====

In Eastern Uganda, an Islamist mob killed Pastor Weere Mukisa, his wife Annet Namugaya, and their two young daughters, Judith, 7, and Sylvia, 4, by setting their home on fire after the pastor converted three Muslims to Christianity.

The attack occurred at around 3 a.m. on Oct. 13 in Kibale village, Namutumba District, according to his brother, James Tusubira. Pastor Mukisa, 30, had received threats since the conversions in September.

Tusubira reported seeing flames from the house and, upon reaching the site, found it destroyed with plastic petrol bottles nearby. Police are pursuing the attackers, who are from a nearby village and were known to the pastor. The brutal incident has left the community in shock, with Tusubira calling for prayers and justice.

Husband Attacks Wife with Acid for Converting to Christianity

In a separate incident in Nankoma, Bugiri District, Hidaaya Nabafa, a 27-year-old mother of three, was severely beaten and doused with acid by her husband after she admitted her new Christian faith.

Nabafa, who converted in August, had attended a worship service on Oct.9, which angered her husband, Juma Nsibambi. He assaulted her and poured battery acid on her, causing severe burns that will require ongoing treatment and reconstructive surgery.

These attacks underscore the increasing persecution of Christians in Uganda. Although Uganda’s constitution guarantees religious freedom, reports of violence against converts are mounting. Muslims comprise no more than 12% of Uganda’s population, with most concentrated in the East.

cbn.com
Kama huko kwao wanachinjana na kutoana vichea wao kwa wao je watawafanya nini wengine
 
Hii haikubaliki kweli, lakini tatizo ni baadhi ya waislamu wanaotafsiri maandiko ndivyo sivyo. Viongozi wa dini wa kiislamu wanapaswa kufanyia kazi hilo. Sehemu nyingi kuna matatizo ya hizi tafsiri

Wakati mama Samia ameingia madarakani, safari yake ya kwanza kwenda US niliona sehemu masheikh/wale wanaokata suruali wanasema mama Samia kaitwa marekani Kuja kukandamiza haki za waislamu. Kuna tatizo kubwa japo inawezekana kutoka huko
Sio tafsiri wala nini
Uislamu ndio uko hivyo dini ya fujo na vurugu toka Mwanzo!!
 
Back
Top Bottom