Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, USIKATE TAMAA, refile your case kama imekuwa struck out!

Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, USIKATE TAMAA, refile your case kama imekuwa struck out!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case!

Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
 
Hawa ccm kila siku wanaambiwaga wskiona haki inaminywa kws yeyote yule wanatakiwa wakemee ___ sasa na wao wameanza pata ladha
 
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case!

Let history have it that you fought for what you believed to be Unjust/wrong/unconstitutional!
pwagu anamshauri na kupotosha pwaguzi 🐒
 
naam, njia zile zile sasa zinawahukumu wao
Ndiyo wanachopitia Marekani... Miaka yote walikuwa wana wanasiasa wanaoheshimu tamaduni, wamekuja wasioheshimu tamaduni Katiba Iko kimya haisemi wafanywe nini.

Katiba inatakiwa iseme Kila kitu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom