PostGE2025 Mchungaji Dkt. Malisa: Nimepewa masharti ya Miezi 12 bila kutenda Kosa, Siyo Kifungo cha Nje

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoachiwa huru, Mchungaji Godfrey Malisa amesema kipindi cha siku 183 alizokaa gerezani kilikuwa chuo cha mafunzo, huku akishauri kufanyika kwa marekebisho katika mfumo wa utoaji msamaha kwa wafungwa ili uwaguse wengi zaidi.

Malisa amesema akiwa huko alikutana na wafungwa waliokaa magerezani kwa muda mrefu, baadhi yao kwa miaka 15 hadi 18, huku wengine wakiwa ni watu wenye ulemavu ambao huendelea kuwa na matumaini tasa kila misamaha inapokuwa ikitangazwa. Kuhusu kuachiliwa kwake amesema;

"Ni vizuri muwe na tabia ya kwenda kwenye source. Nendeni mahakamani mwelezwe vizuri maamuzi yalikuwaje. Kuna kitu kinaitwa conditional discharge, eh? Nilipewa ni conditional discharge, sio kifungo cha nje. Uh, conditional discharge kwamba kwa miezi 12 ijayo usitende kosa lolote. Hiyo ni conditional discharge. Lakini wale ambao, kama ilivyo tabia yao, wanapenda kukoroga mambo, no, si kifungo cha nje.

Kwamba nakubaliana na maamuzi hayo au hapana, hilo ni swala tofauti. Lakini kesi ilifutwa na hata hiyo conditional discharge ni kama shauri lilifutwa lakini kwa sababu ambazo sipendi kuzieleza likatolewa kama conditional discharge. Unaelewa vibaya? Alichokilichosemwa ni kwamba uepuke matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Wao wanaelewa wanavyoelewa na mimi naelewa ninavyoelewa. Kwa sababu katika nchi hii, katiba inaruhusu freedom of speech. Sasa wao wanaposema hilo lililosemwa, wanajua walichoongea wao lakini na mimi nasimama kwenye katiba. Katiba ya nchi hii inaniruhusu kusema."

Soma: Aliyesema Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9, Dkt. Malisa aachiliwa huru, Mahakama yamfutia kesi ya Uhaini

Alifanya kosa gani?
Karatasi yake ya hukumu ipo wapi?
Au kahukumiwa tuu kwa mlango wa nyuma?
 
Huyo mama wa ajabu sana!
Anatesa watu namna hii! Na anataka aheshimiwe?
 
Huyu ni nani, Dr Malissa wa CCM aliyepinga uteuzi wa Samia kwenye kikao cha Kikwete ?
ndio uyo uyo.
IMG_8855.jpeg

PostGE2025 - Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI
 
Huyu ni nani, Dr Malissa wa CCM aliyepinga uteuzi wa Samia kwenye kikao cha Kikwete ?
Ndiyo huyo huyo. Amekaa mahabusu kwa siku zote hizo kwa sababu tu ya kutumia uhuru wake wa kikatiba wa kutoa maoni/kuhoji.
 
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu alipoachiwa huru, Mchungaji Godfrey Malisa amesema kipindi cha siku 183 alizokaa gerezani kilikuwa chuo cha mafunzo, huku akishauri kufanyika kwa marekebisho katika mfumo wa utoaji msamaha kwa wafungwa ili uwaguse wengi zaidi.

Malisa amesema akiwa huko alikutana na wafungwa waliokaa magerezani kwa muda mrefu, baadhi yao kwa miaka 15 hadi 18, huku wengine wakiwa ni watu wenye ulemavu ambao huendelea kuwa na matumaini tasa kila misamaha inapokuwa ikitangazwa. Kuhusu kuachiliwa kwake amesema;

"Ni vizuri muwe na tabia ya kwenda kwenye source. Nendeni mahakamani mwelezwe vizuri maamuzi yalikuwaje. Kuna kitu kinaitwa conditional discharge, eh? Nilipewa ni conditional discharge, sio kifungo cha nje. Uh, conditional discharge kwamba kwa miezi 12 ijayo usitende kosa lolote. Hiyo ni conditional discharge. Lakini wale ambao, kama ilivyo tabia yao, wanapenda kukoroga mambo, no, si kifungo cha nje.

Kwamba nakubaliana na maamuzi hayo au hapana, hilo ni swala tofauti. Lakini kesi ilifutwa na hata hiyo conditional discharge ni kama shauri lilifutwa lakini kwa sababu ambazo sipendi kuzieleza likatolewa kama conditional discharge. Unaelewa vibaya? Alichokilichosemwa ni kwamba uepuke matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Wao wanaelewa wanavyoelewa na mimi naelewa ninavyoelewa. Kwa sababu katika nchi hii, katiba inaruhusu freedom of speech. Sasa wao wanaposema hilo lililosemwa, wanajua walichoongea wao lakini na mimi nasimama kwenye katiba. Katiba ya nchi hii inaniruhusu kusema."

Soma: Aliyesema Rais Samia ajiuzulu kabla ya Disemba 9, Dkt. Malisa aachiliwa huru, Mahakama yamfutia kesi ya Uhaini

kuanza siasa ukiwa above50yrs of age ni uduawanzi sana aise :NoGodNo:
 
Hizi kangaroo courts zetu shida sana. Mtu aliyefutiwa kesi anakuwaje conditionally discharged?

A criminal defendant can be conditionally discharged under the Penal Code (Chapter 16) and the Criminal Procedure Act of 1985 when the court finds the charge proven but deems it inexpedient to inflict punishment.

As far as I know, no trial occurred nor did Malisa enter a guilty plea. That said, how did the court then find the charge proven?
 
Back
Top Bottom