Maana yake kisaikolojia mbinu ya kunyamaa ni kukubali kosa ili yaishe kimyakimya?
Jamani hii move bado inaendelea?
yawezekana hivyo au la
hivi we ikitokea mtu unamchapia, then akakuuliza pertinent questions, utajibu?
yawezekana hivyo au la
hivi we ikitokea mtu unamchapia, then akakuuliza pertinent questions, utajibu?
Na mshkaji saa hizi ana chopa, Dah maana ugonjwa wa mwanamke ni usafiri tu
Okay, hatuongelei ya chopper ingawa pengine imetokana na pesa hizi za walalahoi wanaochangia sadaka kanisani, lakini badala ya chopper angejenga mospitali au kununua madawa ya hospitali, hali kadhalika kupeleka madeski ya wanafunzi shule za msingi ingekuwa jambo la muhimu zaidi kuliko chopper.
Tambua kwamba aongoz serikalin yeye anasambaza injil ya Yesu! anasimamia watu wa Mungu na kuwavuta weng wamwamin kristo Yesu.
Yesu alianza na kuwaponya wagonjw, kualisha wenye njaa hayo ndiyo kipa umbele si kuruka na chopa angani hakutalisha wenye njaa, hakutajaza dawa mahospitalini, chopper hazitatelemsha madeski ya wanafunzi mashuleni
Hivi bongo kuna wachungaji ?
unajua Candid Scope maprecher wa kibongo wanafanya kaz ya Mungu kama sehemu ya biashara tofaut na wengne wa mbele kama BonkEY, Dr. billy gram etc.
Umenikumbusha mbali, nilipokuwa Marekani kuna mbongo mmona alipoona mambo magumu kupata paper za kushia akaamua kuanzisha kanisa na mambo yakamnyookea, baada ya kupata paper za serikali kuishi kihalali, akatelekeza kanisa na kutimkia bongo, sasa amekuwa visitor asiyehitaji visa kuingia Marekani. Tabia hii inawaharibia wengine na kufanya serikali ianze kukaza sheria sababu ya hawa wanaotumia mahubiri kama njia za kujinufaisha binafsi.
Angalia hapo juu imeandikwaje na anayeongelewa hapa ni Mani @ mkubwa