Mchungaji Gwajima amejibu tuhuma za mume wa Flora Mbasha?

Mchungaji Gwajima amejibu tuhuma za mume wa Flora Mbasha?

Siku ile inakuja upesi, kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kilichofichwa kitafichuliwa, wote tutasimama mbele za MUNGU atakapo hukumu watu wote, kila mtu atatoa hesabu zake mwenyewe siku ile ya mwisho.
 
yawezekana hivyo au la

hivi we ikitokea mtu unamchapia, then akakuuliza pertinent questions, utajibu?

Na kabisa kwa mtu mwenye nafasi na anayejulikana na kujijgengea heshima kidini ni kashfa nzito.
 
yawezekana hivyo au la

hivi we ikitokea mtu unamchapia, then akakuuliza pertinent questions, utajibu?

Na kabisa kwa mtu mwenye nafasi na anayejulikana na kujijegengea heshima kidini ni kashfa nzito.
 
MAPENZI yanaumiza sana kwani ni kitu chenye kubeba HISIA kutoka ndani ya moyo. Lakini huwa siamini katika kung'anga'ania. Kama ilivyo katika kifo wengine hufikia uzee, wengina huaga dunia wangali vijana wadogo na wengine hufa wakiwa watoto.
Tusilazimishe mapenzi, wapo watakaozeeka pamoja, wapo watakaoishia njiani na wapo watakaozikana. Yote ni mapenzi ya yule alietuumba.
 
Na mshkaji saa hizi ana chopa, Dah maana ugonjwa wa mwanamke ni usafiri tu
 
Na mshkaji saa hizi ana chopa, Dah maana ugonjwa wa mwanamke ni usafiri tu

Okay, hatuongelei ya chopper ingawa pengine imetokana na pesa hizi za walalahoi wanaochangia sadaka kanisani, lakini badala ya chopper angejenga mospitali au kununua madawa ya hospitali, hali kadhalika kupeleka madeski ya wanafunzi shule za msingi ingekuwa jambo la muhimu zaidi kuliko chopper.
 
Tambua kwamba aongoz serikalin yeye anasambaza injil ya Yesu! anasimamia watu wa Mungu na kuwavuta weng wamwamin kristo Yesu.-so candid mambo ya kaisal mpe apewe kaisal, hospital yupo yesu anaponya, madesk nj mamawati vyote ivyo Mungu ajaagza ivo, aliSEMA ENENDEN MKAYAFANYE MA TAIFA YOTE KUWA WANAFUNZ WANGU NDIVYO YESU ALIVOAGZA, IVYO KAZ YA chopa NDO MAHAL PAKE PALE..... AFU MSISIME SADAKA ZA WALALA HOI HATUNA KITU IYO NA MUNGU HANA WALALA HOI MALALA HOI MAKANISAN HATA MISIKINI, ILA NI WATU 2 NDO TUNAJIWEKA WALALA HOI KWA NA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA, ILA MAFISAD NDO wanaokula pesa za walala hoi.... >>> @to be continue
 
Last edited by a moderator:
Tambua kwamba aongoz serikalin yeye anasambaza injil ya Yesu! anasimamia watu wa Mungu na kuwavuta weng wamwamin kristo Yesu.

Yesu alianza na kuwaponya wagonjw, kualisha wenye njaa hayo ndiyo kipa umbele si kuruka na chopa angani hakutalisha wenye njaa, hakutajaza dawa mahospitalini, chopper hazitatelemsha madeski ya wanafunzi mashuleni
 
unajua Candid Scope maprecher wa kibongo wanafanya kaz ya Mungu kama sehemu ya biashara tofaut na wengne wa mbele kama BonkEY, Dr. billy gram etc.
 
Last edited by a moderator:
unajua Candid Scope maprecher wa kibongo wanafanya kaz ya Mungu kama sehemu ya biashara tofaut na wengne wa mbele kama BonkEY, Dr. billy gram etc.

Umenikumbusha mbali, nilipokuwa Marekani kuna mbongo mmona alipoona mambo magumu kupata paper za kushia akaamua kuanzisha kanisa na mambo yakamnyookea, baada ya kupata paper za serikali kuishi kihalali, akatelekeza kanisa na kutimkia bongo, sasa amekuwa visitor asiyehitaji visa kuingia Marekani. Tabia hii inawaharibia wengine na kufanya serikali ianze kukaza sheria sababu ya hawa wanaotumia mahubiri kama njia za kujinufaisha binafsi.
 
Ha ha ha bongo tatizo uhun mwing bora ukiskia mwinjilist kuliko anayejiita pastor.
 
ndio shida ya kukimbilia wachungaji
wanaoibuka hovyo'mbasha anaumia aisee
ila amuachie mungu tu,kisasi cha mungu ni cha haki
 
Back
Top Bottom