Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a container with useless knowledge.
Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi.
Nini mtazamo wako kuhusu hoja hii?