Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Hili jambo ni rahisi sana anayesemwa ni Daudi Bashite atoke na vyeti vyake OG na kuuthibitishia umma kuwa yeye sio Daudi ni PCM.

Kuna wakati trump alimwandama Obama kuwa si mmarekani kwa sababu hakuzaliwa marekani. Obama mwanzoni alipuuza ila nadhani alishauriwa aonyeshe cheti chake cha kuzaliwa ili kumaliza ubishi na anafanya hvo...ingawaje yeye alisema ni jambo la kipuuzi ila kwa kiasi fulani lilimaliza kilichokuwa kinaendelea. Ingawa kuna baadhi waliendelea na msimamo wao kuwa siyo mmarekani.

PCM toka na vyeti vyako waonyeshe watanzania kuwa wewe si DAB Bali wewe ni PCM...ikiwezekana hata na cheti cha kuzaliwa uonyeshe ili kumaliza hii kitu once and for all.

Ukishaonyesha wa kuamini ataamini na wa kutokuamini ataendelea kutokuamini na baada ya hapo endelea kuchapa Kazi kama siafu.

Ukiendelea kukaa kimya kwa madai eti huwezi kuwajibu wapiga kelele unatufanya tuamini yanayosemwa juu yako ni kweli.
 
Hata wewe ukichokoza watu utaletewa picha zote vile ulikuwa unachepuka na maasi yako mengi. Unaweza ukadhani wewe unawajua watu lakini watubwanaweza wakawa wanakujua wewe zaidi.
 
Pascal ukweli wewe ni kichwa .na nguli Wa uandishi Wa habari [emoji106] [emoji106] [emoji106] kwa mbinu zako za uandishi ataa North Korea unapiga kazi bila kuatarisha kukatwa shingo .big up [emoji106] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…