Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Sidhan kama huyu askofu aliyejiiita askofu mkuu anaelewa thabibiti ukristu nini.

JE KRISTU ALITUASA TUSHIKE NA KUIISHI AMRI GANI ?

JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA KUISHI NA MAADUI?

JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA MCHUNGAJI NA KONDOO?

JE MCHUNGAJI KAMA MWANGA ANA MCHANGO GANI KWA WAAMIN WAKE?

JE HAYA YANAYOFANYWA LEO NA WACHUNGAJI WETU NI SAHIHI?

Inasikitisha kuona kanisa linageuka ukumbi wa maneno ya kidunia yaliyojaa reveng hali ya kuwa yuliambiwa tupende jirani kama tujipendavyo wenyewe na tuwaombee adui na wa kusimamia hili kwa mfano ulio bora ni wachungaji
 
Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.

Paskali
Anamaanisha result slip! Wenye akili zao wamemwelewa lakini wanaoweweseka kutafuta pa kujinasulia hapo ndo wanaona mlàngo wa kutorokea!
Kumaliza utata ajitokeze mwenyewe na vyeti vyake kama anavyo kweli!
 
Mchungaji wa Watu wa Mungu, ikiwa ulitajwa kwenye tuhuma za mihadarati na ulichunguzwa ukakutwa huna hatia, basi samehe tu kama ambavyo Dr Slaa alivyokusamehe bure kabisa,

Mtumishi wa Mungu halipi kisasi, mtumishi wa Mungu huachilia na kumkabidhi Mungu tu apigane na wanaopigana nae.

Ukristo hatufunzwi kulipa kisasi kabisa, sasa hii ya kuingia na kujivika vita vya kimwili umekosea sana Mungu wa majeshi hana vita ya aina hii kabisa ndugu mtumishi wa Mungu.

Piga goti utubu kabisa hii ni dhambi kubwa unayofanya ya kupambana kimwili na kumruhusu pepo mchafu mlipa visasi na mpigana vita ya mwili atoke kabisa, vinginevyo ataua huduma yako.
Rc Makonda pamoja na mambo mengine lakini bado tunaamini kuna watu wanawatumia viongozi wa dini na baadhi ya viongozi wa serikali wasio na maadili na wapiga dili ili kumdhoofisha kwa sababu tu ya kuvuruga biashara yao haramu,

Mtumishi wa Mungu usifuatane nao kabisa utajikuta ukicheza ngoma ya kuzimu na kuua huduma yako.

Mtemi Nyakarungu
 
Tofautisha Gwajima na ukristo. Injili na biashara.
 
dg huu umbea kauleta hapa...kwenye hii thread...gafla tu hata hajashirikisha akili kaja uku kufungua ushuz wke ghafla
 
Kazi moja ya ukristu na watumishi wa mungu ni kukemea maovu na ulaghai ikiwemo kutumia vyeti feki!
Kwani ulaghai ni chukizo kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…