EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,112
I dont beleave is all about courage, I think he is secured by somebody unknown
GOD Then, After All He Is A Child Of The Heavenly King
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I dont beleave is all about courage, I think he is secured by somebody unknown
Pascal miaka hiyo ni miaka gani labda?Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Mtu huyu atachokwa kama alivyochokwa mwanakijiji!!Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Anamaanisha result slip! Wenye akili zao wamemwelewa lakini wanaoweweseka kutafuta pa kujinasulia hapo ndo wanaona mlàngo wa kutorokea!Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Muuliza swali na michango inayoendelea,polisi na bangi.Tatizo lenu mmewazoea wachungaji wanaokilamba miguu chama chenu na serikali yenu.Kwa taarifa yako Gwajima hatakagi unafiki na huwa mkweli siku zote
Tofautisha Gwajima na ukristo. Injili na biashara.Sidhan kama huyu askofu aliyejiiita askofu mkuu anaelewa thabibiti ukristu nini.
JE KRISTU ALITUASA TUSHIKE NA KUIISHI AMRI GANI ?
JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA KUISHI NA MAADUI?
JE KRISTU ALIFUNDISHA NINI JUU YA MCHUNGAJI NA KONDOO?
JE MCHUNGAJI KAMA MWANGA ANA MCHANGO GANI KWA WAAMIN WAKE?
JE HAYA YANAYOFANYWA LEO NA WACHUNGAJI WETU NI SAHIHI?
Inasikitisha kuona kanisa linageuka ukumbi wa maneno ya kidunia yaliyojaa reveng hali ya kuwa yuliambiwa tupende jirani kama tujipendavyo wenyewe na tuwaombee adui na wa kusimamia hili kwa mfano ulio bora ni wachungaji
Hawajaitwa kuwa wachungaji, uchungaji ni wito si wote wameitwa. Wale watabaki kuwa wana siasa wito wao upo huko.Sasa mbona Lowassa na Maalim Seif wanaulilia sana urais? Kwa nini wasiwe wachungaji?