hapo red mie nimepata dhambi ipi?Kuwa mtumishi wa Mungu si kigezo cha kuruhusu tabia ya kubambikiwa Kesi, hiyo tabia ya kubambikia mtu kesi lazima ilaaniwe vilivyo pasipo kuangalia maandiko yeyote, ww unamsaidia Pasco mayala lakini mwenzako kapewa pesa amtetee makonda huoni kama na ww unatenda dhambi? Msitumie maandiko matakatifu kuharalisha uonevu, ukandamizaji, Udikteta, kubambikia watu kesi.
unabishana na mke wa Makonda ambaye hata yeye anajiita "mama daudi"?Naona unajaribu kumnasua Makonda,lakini watu tushaelewa.Halafu huyo Magufuli unayemtambua,usimuweke Makonda katika level sawa na viongozi wengine,kwake yeye bwana yule,Makonda ana treatment tofauti kabisa.Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.
Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".
Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Jumatatu Njema.
Paskali
soma biblia kitabu cha mwanzo, kiko wazi kuhusu uumbajiLeta reference ulikotoa haya maneno
we endelea kubishana na mke wa Daudi BashiteWanabodi,

Bwana wa masogange anasaka namba ya huyo mke wa Daud ili wachepuke apoze machungu ya kuchukuliwa demu wake, yaani anataka a-balance ngoma droo.. Daud kamega wake na yy anataka amege wa Makonda, mega umegewe wapo busy kusaka namba yake .we endelea kubishana na mke wa Daudi Bashite
Mchumba wake masogange ana usongo na mke wa makonda anaomba asaidiwe namba yake ili na yy achepuke nae wabalanceunabishana na mke wa Makonda ambaye hata yeye anajiita "mama daudi"?Naona unajaribu kumnasua Makonda,lakini watu tushaelewa.Halafu huyo Magufuli unayemtambua,usimuweke Makonda katika level sawa na viongozi wengine,kwake yeye bwana yule,Makonda ana treatment tofauti kabisa.
Pili hivyo vyombo vya usalama vingekuwa vinajua kazi zao vizuri,leo hii tusingekuwa tuna makovu ya ufisadi kiasi hiki.Angalia mpaka waingereza ndio walitusaidia kujua tumeibiwa kwenye radar lakini pia kwenye ule mkopo wa dola mil 600 ambapo kuna asilimia 1 iliongezwa kwa ajili ya mtu wa kati.
unamjua gwajima unamsikia, ukipambana naye usijaribu kwenda kwa waganga wa kienyeji, atawasambaratisha hata hizo nguvu watakazokupatia hazitakusaidia. kamwulize shee husein msoma nyota kilichompata.Living ni cheti pia, huyo unayemwita mtumishi hewa sasa anamhenyesha boss wako Daud Albert mpaka anakesha kwa waganga wa kienyeji, Bakwata, na sasa kampa pesa pasco na Steven Nyerere wamtetee, angekuwa mchungaji hewa mngehangaika kupoteza mda?
naombeni tufufue ile kashfa ya upunga na mshitakiwa wa ATCL, hawa wawili wanapikwa kwenye chungu kimoja. ona wanavyoteteana.Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.
Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".
Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .
Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Jumatatu Njema.
Paskali
Kuitwa ndiyo nini?Hawajaitwa kuwa wachungaji, uchungaji ni wito si wote wameitwa. Wale watabaki kuwa wana siasa wito wao upo huko.
Kwa hiyo gwajima ni mtoto mdogo? Au wewe ni mtoto mdogo?Ndo maana biblia inasema haya mambo yamefichwa kwa watu wazima na kufunuliwa kwa watoto wadogo. Umeuliza swali la kijinga kabisa
kila mtu na maisha yake watu hawafanani mahitaji
Kwa hiyo gwajima ni mtoto mdogo? Au wewe ni mtoto mdogo?
kati ya mabinti wanaoumia moyo tena bila hatia, nahisi huyu binti ni mmojawapo. sipati picha. mara agi kapangishiwa jumba makongo, mara wema katongozwa, mara mtu katembea na kajala. ndoa ni mtiani mkubwa sana hakika.we endelea kubishana na mke wa Daudi Bashite
Huyu Daudi anampa mitihani sana binti wa watuk
kati ya mabinti wanaoumia moyo tena bila hatia, nahisi huyu binti ni mmojawapo. sipati picha. mara agi kapangishiwa jumba makongo, mara wema katongozwa, mara mtu katembea na kajala. ndoa ni mtiani mkubwa sana hakika.
Ndiyooo miaka hiyoooo ya daud bashiteDivision ZERO ina CHETI?
Hujajibu swali. Wewe ni mtoto mdogo? Gwajima ni mtoto mdogo?Duuu....mkuu kumbe umetoka kapa kiasi hicho..pole sana mkuu wangu.
Hujajibu swali. Wewe ni mtoto mdogo? Gwajima ni mtoto mdogo?