Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

k

kati ya mabinti wanaoumia moyo tena bila hatia, nahisi huyu binti ni mmojawapo. sipati picha. mara agi kapangishiwa jumba makongo, mara wema katongozwa, mara mtu katembea na kajala. ndoa ni mtiani mkubwa sana hakika.
Sio hilo tu, Huenda hapo alipo hata mimba hajapachikwa. Akifikiria kuachana na mume wake wakati anaitamani hela yake hawezi, Kwahiyo anabaki akiteseka rohoni. Mimba, vimada, elimu feki, Jamaa kuharibiwa njia ya haja kubwa..Hapo anatamani hata siku moja amuingize kidole ili aone kama ni kweli marindaless.
 
mbona pengo alitajwa na hakuwa na mdomo.mrefu kama huyo mbirikimo?
 
VIONGOZI WA DINI AINA YA GWAJIMA NI WA KUPUUZWA KABISA

Nakumbuka katika moja ya hotuba zake baba wa taifa hayati JK Nyerere aliwahi kusema kuwa ni kosa kubwa sana kwa kiongozi wa dini kutumia jukwaa la kanisa kuwa jukwaa la kisiasa

Leo hii tunayaona mengi sana yaani askofu mzima wa kiroho katika jukwaa la kanisa lake analigeuza kuwa jukwaa la kisiasa na kuanza kukosoa wateule wa rais wazi wazi.Hili jambo halipaswi kuvumiliwa hata kidogo mamlaka zinazohusika ni wajibu wao sasa kuwachukulia hatua viongozi wa namna hii

Kama kweli mchungaji Gwajima anavyo vyeti vya makonda kwanini alikaa kimya adi juzi baada ya yeye kutajwa katika watu wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya?
Gwajima amepata wapi hivyo vyeti wakati Necta hawatoi vyeti kwa mtu asiye muhusika?
Necta wameanza lini kutoa vyeti vya mtu aliyepata division zero kidato cha nne?
Hivi Gwajima alikosa mahubiri ya kuwaombea wafuasi wake adi aanze kufanya siasa kanisani.?

Kuna maswali mengi sana tunapaswa kumuuliza mchungaji Gwajima kuwa kati ya kutumia cheti cha mtu na kuvunja ndoa ya mtu jambo lipi ni dhambi kubwa mbele ya Mungu?
Lazima tujue sasa kuwa lipi ni jambo baya mbele ya mwenyezi Mungu
Huyu mchungaji Gwajima alikuwa na kashfa kubwa sana ya kutembea na kuvunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injiri Frola Mbasha na Emanuel Mbasha.Leo hii ndoto za Emanuel Mbasha ya kuwa na ndoa na familia yenye amani imeshafutika na ilifutwa na Gwajima huyu huyu wa leo na hadithi zake za Daudi Bashite

Kweli huyu mtu anapaswa kuaminiwa mbele ya Jamii?.Hivi Mungu wa Gwajima ndio Mungu wetu sisi wengine au ana Mungu wake binafsi?
Hivi kweli Mungu anapenda kuona watoto wa watanzania masikini wanaangamia kwenye ulevi wa madawa ya kulevya? Hivi Mungu anapenda kuona wakina mama wajawazito wanapata tabu wakiwa hospitalini?.Mimi sina hakika kama kweli Mungu wa Gwajima ndio huyu Mungu tunayemuomba sisi mwenye rehema na mwenye kutaka kuona kila mtu anaishi maisha safi na salama

Hivi Gwajima anajua machozi aliyotoa mama yake Rehema chalamila aka Ray C.?
Hivi Gwajima anajua machozi aliyotoa mama yake chidi benzi?.
Hivi anajua machozi aliyotoa mama yake na Tid kuhusu mtoto wake kuwa teja wa madawa ya kulevya.?

Gwajima anajua ni vijana wangapi wa kitanzania wamekamatwa kwenye nchi za nje na wamefungwa maisha kutokana na biashara ya madawa ye kulevya.?
Gwajima anajua ni vijana wangapi wamekuwa mateja wa kudumu kabisa kwa sababu ya hii biashara ya madawa ya kulevya.?

Hivi Mungu anapenda kuona hawa vijana wanakuwa mateja kweli.? Hivi huyu Mungu wa Elia,Mussa na Yakobo ndio huyu huyu Mungu wa Gwajima..?Hapana hapana nadhani Gwajima ana Mungu wake anayemjua yeye na hao wanaomtuma haina ubishi kuwa Gwajima anatumiwa na watu wake lakini watashindwa kwa jina la Mungu wetu sisi sio huyo Mungu wao

Paul Makonda amefanikiwa kujenga wodi ya wazazi tena ya kisasa zaidi ambayo itasaidia wazazi na dada zetu kujifungua kwa usalama zaidi, hivi Gwajima na hao wanaomtuma wamesahau matatizo wanayopata mama zetu huko hospitali?.Hivi Mungu wao hapendi kuona akina mama wanapata huduma bora za afya? Kweli leo hii tumkose makonda kisa makaratasi tu? Wangapi wana vyeti vizuri sana na wengine maprofesa sana lakini wameitia hasara serikali yetu na nchi yetu lakini huyu Gwajima na genge lako hawayaoni hayo?
Gwajima unajua kuwa wabunge wengi wana elimu za kutosha lakini kwenye majimbo yao kuna hali mbaya sana? Gwajima umeshafika jimbo la monduli?
Gwajima umeshafika jimbo la singida mashariki?

Kweli tumkose makonda kisa kikundi cha watu wachache ambao wana maslahi yao binafsi?
Kama Gwajima aliweza kutoa maneno ya ajabu kabisa kwa baba askofu pengo ambaye ni askofu mwenzake na pengo akasema amemsamehee nadhani hii yote ni ile laana ya kumtukana baba askofu pengo
Gwajima waambie hao waliokutuma kuwa wameshindwa vita kabla hawajaanza na Mungu wa Elia naYakobo yupo upande

NDIMI
RAPHAEL LUKINDO
 
Hawatakiwi kupuuzwa bali kushughulikiwa

Pamoja na kuchangiwa pesa nyingi kwenye mahubiri yake aonyeshe amejenga shule ngapi au zahanati ngapi za kuwasaidia waumini wake na hao vijana mateja. Huo ni ubinafsi na utapeli wa Injili ambayo ni kazi ya shetani ambaye hamruhusu binadamu kufanya matendo ya huruma.
 

Mkuu,
Wahenga walisema " angalia ulipojikwaa sio ulipoangukia"
Nianze kwa kusema mimi sio muumini wa kanisa analoongoza Askofu Gwajima.
Askofu Gwajima alikuwa anaendelea na mambo yake ya kanisa hadi alipotajwa na RC kuwa aripoti KITUO CHA POLISI kwa kuhusishwa na biashara ya MADAWA YA KULEVYA.
Kesi bado ipo mahakamani lakini tujiulize mpaka hatua hii Askofu Gwajima ndiye alimfuata huyo 'Serikali '?
 
swali la msingi ni kwa nini gwajima amepaniki kuhusu dawa za kulevya???? ajakutwa na ushahidi but lisemwalo lipo
 
Umetumwa wewe,hongera sana gwajima,kama kiongozi wa dini endelea kukemea maovu ikiwemi ya uwongo,wa kudanganya kwa kutumia cheti cha MTU mwingine na kujifanya ni chako,hongera gwajima
 
Nimpongeze Askofu Dr Josephat Gwajima kwa kazi nzuri anayofanya ya kueneza injili na kukemea maovu
Mungu azidi kumpigania
na kama anamsingizia RC basi na Mungu aliye hai atamshusha
 
Well said!
 
Jukwaa la dini laweza tumika kukemea waovu na maovu, sasa siasa imeingia wapi hapo amesema chagua cham flani!? Naona wewe ndio unataka kuchanganya
 
Mwambieni Davido aende Clouds na vyeti vyake. Hatutaki bla blah zenu hapa
 
Bwana Lukindo, umeandika "vingi" sana. Lakini ili ueleweke zaidi mwambie tunaomba vyeti vyake na majina ya shule alizosoma mpaka chuo.
 
Umetumwa wewe,hongera sana gwajima,kama kiongozi wa dini endelea kukemea maovu ikiwemi ya uwongo,wa kudanganya kwa kutumia cheti cha MTU mwingine na kujifanya ni chako,hongera gwajima
Tutajua kama ni uongo au ukweli, HAKUNA KUOMBA POO
 
swali la msingi ni kwa nini gwajima amepaniki kuhusu dawa za kulevya???? ajakutwa na ushahidi but lisemwalo lipo
hamna kitu kinauma kama kupakaziwa maneno ya uongo tena mbele ya halaiki kwa hali ya kibinadamu kupaniki ni lazma
mfano:wewe ni mwanaume rijali una mke na watoto kadhaa alafu mtu anaibua tuhuma za kukusingizia wewe ni shoga mbele ya kadamnasi je utanyamaza tu??
cha mwisho mwambie jamaa kama kidume kweli aanike vyeti vyake.
Au kama vp aende NECta wakamtengenezee aue soo
 

Swali hilo hilo tumuulize daudi bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…