Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Nani alikuambia nafasi ya Mkuu wa mkoa ni ya kisomi nani? Ole Sendeka sialiwahi semwa kuwa aliferi lakini si ni Mkuu wa mkoa? Nafasi ya ukuu wa mkoa inaweza shikiliwa na MTU yeyote
mkuu acha kutetea mayai viza ww kwan kama wasomi wapo na hakuna ajira kwann wateue vilaza hapo si kuna namna tuuu
 
Mh! Hivi wema alipandishwa kwa ajili gani mahakamani? Tid alipewa mdhamana wa nini? Mbona na yeye hakupelekwa mahakamani kama wengine? Na kama angekuwa mtumiaji kuna video ilisambaa akiwa kanisani akisema amepimwa hakukutwa na kitu.amepekuliwa hawakukuta kitu. Siku zote hizo unategemea polibashet wangemuacha adanganye uma? Au hujui ni kosa kudanganya umma?
 
Mimi nahisi huenda yeye ni supplier mkubwa, au kwa lugha nyingine jamaa anaweza kuwa muuzaji au msafirishaji.
 
Huu in mfugo
 
sichangiagi mada za kijinga zilizoandikwa na watu waliopata bashite form four
 
Nani alikuambia nafasi ya Mkuu wa mkoa ni ya kisomi nani? Ole Sendeka sialiwahi semwa kuwa aliferi lakini si ni Mkuu wa mkoa? Nafasi ya ukuu wa mkoa inaweza shikiliwa na MTU yeyote
Jiji kubwa zaidi nchini,linalotegemewa kwa Kodi na uchimi siyo tuu Tanzania Bali nchi jirani pia liongozwe na form four failure... Wash your face bra...utakuwa umetoka usingizini
 
Askofu Gwajima ni jiwe zito la kumtweza kila anayejaribu kulibeba.
Dawa ni kuingia mitini na kujifanya jiwe halipo au kulitumia kama jiwe kuu la pembeni.
 
Umepata wapi viroba? Si vimepigwa marufuku?
 
We ndo kabisa ilibidi uwe soba
 
Wanaofatilia vyeti ni necta na wamesema mtu mwenye ushahidi wa kua mtu anatumia vyeti sio vyake apeleke taarifa necta na wametoa hadi mawasiliano na time ya kufika hapo sasa kinachowashinda ni nn
 
Hawa ni wanamikakati na wanahaharakati tu.Mungu ahusiki hata kidogo japo wanatumia jina jina la Mungu.
 
Usemayo ni kweli mkuu manabii waliwakemea na kuwaonya watawala mf, mfalme Daudi alionywa na nabii nathani
 
Acha kumfananisha Shekhe Ponda na Watuhumiwa wa madawa ya kulevya...
Jenga hoja sio kumtaka mtu kunyamaza pasipo sababu.
Tambueni kwamba falme za kiulimwengu si za kimungu. Watumishi wa Mungu lazima wawe against na falme za kiulimwengu ambazo viongozi wake wanataka watu waishi maisha ya kishetani.
 
Acha kumfananisha Shekhe Ponda na Watuhumiwa wa madawa ya kulevya...
Ponda kwani ana nini cha kushindwa kumfananisha na mwingine? Au kwa sababu wewe, yeye na ndugu zenu hamuonekani kwa macho ya kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…