Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

[QUOTE="Erythrocyte, post: 20112733, member: 10Makonda atakomeshwa mpaka akome .[/QUOTE]
Sawa! Akomeshwe na wengine lakini kamwe sio na mtumishi wa Mungu.
 
We sio bure serikali ilianzisha mchakato wa kukagua vyeti sasa MTU anapotoa tuhuma za MTU kufoji vyeti unamuona mbaya.ina maana unapingana na serikali iliyoanzisha mchakato.inaonekana hata wewe ni kilaza.
 
[QUOTE="Erythrocyte, post: 20112733, member: 10Mtumishi wakonda atakomeshwa mpaka akome .[/QUOTE]
Sawa! Akomeshwe na wengine lakini kamwe sio na mtumishi wa Mungu
 
Pale aliharibu mno....pepo likagoma kumuingia makonda, akasema ingia kwa watoto wake!!
 
Hana lolote huyo tapeli w la kiimani huyo. Amfufue chifupa kama alivyoahidi

Ukitaka kujua ni Mtumishi wa kweli au uongo nenda Kanisani ukamtukane ndo utarudi jf na jibu sahihi ,
 
Jamaniii ahaaaaaaa ukiwa na msongo wa mawazo njoo huku maana utacheka na kuona watu woooote wanalipa kodi kwako
 
Tatizo ni nini? Kama ni VYETI jamaa akirudi anaweka MEZANI, chungajii kimyaaa.
 
Kwanza yeye ndio anatakiwa aoneshe vyeti maana alisema anavyo vyeti vyote viwili vya Bashite na cha zero so adaiwe vyeti yeye na sio Makonda.
 
Hapa inabidi tuulize kwa nini BWANA Yesu hakuwasamehe waliokuwa wanafanya biashara hekaluni?! (Aliwapa adhabu iwapasayo kwa kuharibu biashara zao).

Jambo hili kuisha kwake ni mpaka Bwana bashite kuacha maneno na kuweka vyeti mezani. Otherwise, zoezi LA ukaguzi wa vyeti halina maana.

Kiongozi mwadilifu alipaswa kuweka vyeti mezani halafu Hao wanaomchafua wakakutane na mahakama kwa kumchafua.

Kukaa kimya kunahalalisha tuhuma dhidi yake.

Hatutaki vyeti feki.
 
Mi pia ameshaanza kunikera, ni bora kwenye ibada yake aweke segment inayoitwa makonda kabisa
 
Mbona umeandika vizuri upendo huvumia,......hufurahi pamoja na kweli.Swala ni kutaka haki itendeke. Swali makonda ana vyeti feki kweli?
 
We sio bure serikali ilianzisha mchakato wa kukagua vyeti sasa MTU anapotoa tuhuma za MTU kufoji vyeti unamuona mbaya.ina maana unapingana na serikali iliyoanzisha mchakato.inaonekana hata wewe ni kilaza.

Serikali ndiyo inafanya hii kazi ya kuhakiki vyeti siyo Gwajima. Yeye kama kiongozi wa kufufua misukule inabidi awalishe misukule yake chakula chao si vitu vilivyo nje ya uwezo wake. Kwani hulijuwi hili au na wewe ni msukule wake?
 
Kwanza yeye ndio anatakiwa aoneshe vyeti maana alisema anavyo vyeti vyote viwili vya Bashite na cha zero so adaiwe vyeti yeye na sio Makonda.

Gwajima alishaiambia Serikali ya Msukuma mwenzake Magufuli kwamba ukitaka kujua uhalali wa vyeti vya mtu unaenda NECTA kwa dada yake Ndelichako huko utapata matokeo yote ya DAUDI ALBERT BASHITE na PAULO MAKONDA.........!
Baada ya hapo watafute wenye majina hayo ili ujue nani ni nani kati ya hayo majina mawili. Gwajima ameshasema atamshangaa sana Magufuli na Ndelichako kama hawatamkamata Paul Makonda kwa kosa la KUGHUSHI VYETI!!!!
 
Magufuli anamwogopa Daudi Ukweli ndiyo huo
 
Serikali ndiyo inafanya hii kazi ya kuhakiki vyeti siyo Gwajima. Yeye kama kiongozi wa kufufua misukule inabidi awalishe misukule yake chakula chao si vitu vilivyo nje ya uwezo wake. Kwani hulijuwi hili au na wewe ni msukule wake?
Weka vyeti acha maneno, serikali ipi? Kwani makonda ni serikali ya Taifa au ni serikali ya mkoa? Waziri wa Elimu anateuliwa na nani? mtuhumiwa ni msukuma na mteuzi ni msukuma unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…