mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
gwajima namkubali sana
Msukule anajulikana tu. Unajuwa kwenu ni wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gwajima namkubali sana
We sio bure serikali ilianzisha mchakato wa kukagua vyeti sasa MTU anapotoa tuhuma za MTU kufoji vyeti unamuona mbaya.ina maana unapingana na serikali iliyoanzisha mchakato.inaonekana hata wewe ni kilaza.Haka kajamaa Gwajima ni mtu asiyejitambua kwani hata nduguze na familia yake hawamuelewi tu. In short ni opportunist Fulani, yeye baada ya kufundisha na kuhutubia neon la Mungu kanisani kwake, anafanya siasa za kijinga na Misukule yake inashupalia tena na wengine wanamuomba aongee Zaidi na kusahau kurudi makwao kwenda kula na kufanya majukumu mengine.
Kwanza sikumfahamu vema huyu mnayemuita mtumishi wa Mungu, issue ya Bashite imenifanya japo kidogo nimfuatilie kidogo, nimesikitika kujua kuwa naye anakashfa juu ya baadhi ya waumini wake ila pia juu wa watumishi wenzake wa Mungu, ila kilichonichosha zaidi ni pale nilipoona akiamrisha pepo likamuingie Bashite, kweli nimeanza kuwa na juu ya Mungu anayemtumikia!
Hana lolote huyo tapeli w la kiimani huyo. Amfufue chifupa kama alivyoahidi
Hapa inabidi tuulize kwa nini BWANA Yesu hakuwasamehe waliokuwa wanafanya biashara hekaluni?! (Aliwapa adhabu iwapasayo kwa kuharibu biashara zao).Hivi kati ya watumishi wa Mungu, Gwajima naye ni mmojawapo? Hata kama kakosewa kama anavyodai, je yeye neno la kusamehe huwa linampita pembeni? Au akisoma Biblia vifungu vinavyohusu kusamehe huwa vinafutika? Huwa anawafundishaje waumini wake kuhusu somo la msamaha?
Mathayo 6:14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu."
Waefeso 4:32 "Tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma ninyi mkasameheane kama na Mungu katika kristo alivyowasamehe ninyi."
Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikose mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini."
1 Wakorintho 13:4, 5. “Upendo ni wenye ustahimilivu na wenye fadhili. Upendo hauna wivu, haujigambi, haujivuni, haujiendeshi bila adabu, hautafuti faida zake wenyewe, hauchokozeki. Hauweki hesabu ya ubaya. Haushangilii juu ya ukosefu wa uadilifu, bali hushangilia pamoja na kweli. Huhimili mambo yote, huamini mambo yote, hutumaini mambo yote, huvumilia mambo yote.”
Atumbuliwe mara ngapiAtaongea mpaka ajisaidie madhabahuni lkn Makonda hatumbuliwi kabisa
Maubiri fake nje ya mfumo wa kanisa la Kikristo hayana tofauti na vyeti fake wote ni wafuKama unachukia vyeti feki huwezi kumchukia Gwajima labda utamshangaa rais
Mbona umeandika vizuri upendo huvumia,......hufurahi pamoja na kweli.Swala ni kutaka haki itendeke. Swali makonda ana vyeti feki kweli?Hivi kati ya watumishi wa Mungu, Gwajima naye ni mmojawapo? Hata kama kakosewa kama anavyodai, je yeye neno la kusamehe huwa linampita pembeni? Au akisoma Biblia vifungu vinavyohusu kusamehe huwa vinafutika? Huwa anawafundishaje waumini wake kuhusu somo la msamaha?
Mathayo 6:14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi bali msipowasamehe watu makosa yao wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu."
Waefeso 4:32 "Tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma ninyi mkasameheane kama na Mungu katika kristo alivyowasamehe ninyi."
Mathayo 18:21-22 "Kisha petero akamwendea akamwambia Bwana ndugu yangu anikose mara ngapi nami ni msamehe? hata mara saba? Yesu akamwambia sikwambii mara saba bali hata saba mara sabini."
1 Wakorintho 13:4, 5. “Upendo ni wenye ustahimilivu na wenye fadhili. Upendo hauna wivu, haujigambi, haujivuni, haujiendeshi bila adabu, hautafuti faida zake wenyewe, hauchokozeki. Hauweki hesabu ya ubaya. Haushangilii juu ya ukosefu wa uadilifu, bali hushangilia pamoja na kweli. Huhimili mambo yote, huamini mambo yote, hutumaini mambo yote, huvumilia mambo yote.”
We sio bure serikali ilianzisha mchakato wa kukagua vyeti sasa MTU anapotoa tuhuma za MTU kufoji vyeti unamuona mbaya.ina maana unapingana na serikali iliyoanzisha mchakato.inaonekana hata wewe ni kilaza.
Kwanza yeye ndio anatakiwa aoneshe vyeti maana alisema anavyo vyeti vyote viwili vya Bashite na cha zero so adaiwe vyeti yeye na sio Makonda.
Magufuli anamwogopa Daudi Ukweli ndiyo huoGwajima alishaiambia Serikali ya Msukuma mwenzake Magufuli kwamba ukitaka kujua uhalali wa vyeti vya mtu unaenda NECTA kwa dada yake Ndelichako huko utapata matokeo yote ya DAUDI ALBERT BASHITE na PAULO MAKONDA.........!
Baada ya hapo watafute wenye majina hayo ili ujue nani ni nani kati ya hayo majina mawili. Gwajima ameshasema atamshangaa sana Magufuli na Ndelichako kama hawatamkamata Paul Makonda kwa kosa la KUGHUSHI VYETI!!!!
Weka vyeti acha maneno, serikali ipi? Kwani makonda ni serikali ya Taifa au ni serikali ya mkoa? Waziri wa Elimu anateuliwa na nani? mtuhumiwa ni msukuma na mteuzi ni msukuma unategemea nini?Serikali ndiyo inafanya hii kazi ya kuhakiki vyeti siyo Gwajima. Yeye kama kiongozi wa kufufua misukule inabidi awalishe misukule yake chakula chao si vitu vilivyo nje ya uwezo wake. Kwani hulijuwi hili au na wewe ni msukule wake?
WE ngoja akuBASHITE na wewee ndo utamjuaMchungaji muongo muongo Tu Tu