Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

We mashaka yameanza leo? Mbona yafahamika siku mingi tu kwamba anakamua maziwa ya kondoo wote waliopote njia
 
yule ni kama kondoo wa bwana aliepotea, hapaswi kushindana nae kwa kumkomoa. anapaswa kumuombea na kumsamehe adui yake.


wenye akili tumekuelewa.
 
Andika kiswahili tuelewe
 
Tatizo umelelewa katika imani ya kinuha kwamba unafiki ni sehemu ya muumini katika kuonyesha ukaribu na Mungu.

Tell as it is ndiyo imani ya Kikristo
Unapoambiwa utaijua kweli nayo kweli itakuweka huru unafikiri ni kweli ya kukufurahisha tu.

Gwajima anasema kile anachokijua Achana na tone wakati WA kusema angalia kile anachotaka wewe usikie
 
Alinyamaza sana, lakini inambidi kufanya hivyo, kwa sababu wao hawafanyi ipasavyo kufanya.
sometimes kunyamaza kunaumiza moyo
 
Ata mle naona kama huyu gwajima kapotea kwenye nyumba ya mungu unamfanya mungu awe subtopic in kosa kubwa
 
Typing error......sorry
 
Huwezi kueleweka mkuu. Watu wanataka ubuyu wa kupost insta kutoka kwa baba askofu. Lakini nakwambia neno moja, ulichosema ni kweli.
Inasikitisha kuona muumini anaenda kanisani kwa kutaka tu kupata ubuyu na kusahau lengo kuu la kusali na kumtukuza Mungu
 
tofautisha battle na mahubiri. jamaa yupo kwenye battle na watu wanaotaka kumpoteza kabisa, unategemea atakuwa anatoa mistari ya rehema za Mungu? he's being attacked na kuna mambo ya chini kwa chini yanaendelea kummaliza kabisa, mikutano yake ya nje ya nchi alikotakiwa kuhubiri haendi tena kwasababu yupo kwenye probation/binding over ya police kuripoti mara kwa mara na watu wa nje ambao hawataki kusikia hata harufu ya madawa ya kulevya wameshaambiwa na bashite kuwa jamaa anauza ngada. hawatasikia tena mahubiri yake, hiyo damage unaona ni ndogo? na bado anaundiwa mwanamke aambiwe amezaa naye, bado adui anaendelea kumtafutia kashfa, unategemea afanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…