Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

 
Paskali umesoma kweli uandishi wa habari?
Kwa nini unamtetea mtu ambaye ana elements za uharifu?
 
Nimevumilia sana lakini sasa nimechoka, yaan ni wiki ya tatu sasa kila nikienda kanisani kusikiliza neno la Mungu katika Kanisa la Ufufuo na uzima ila baada ya kusikiliza neno la Mungu nasikiliza majungu, umbeya na udaku wa mtu anayeitwa Bashite, halafu muda wa sadaka ukifika naambiwa tutoe sadaka, sitakubali tena jumapili hii kufanya hili swala, nitatoa sadaka kama nitasikiliza neno la Mungu mwanzo mwisho, sio majungu, yaan mtu anahubiri majungu tu kila jumapili? sasa, sijui neno la Mungu tutaanza kuhubiriwa lini?


Naomba sana mchungaji husika, jumapili uhubiri neno la Mungu, tunataka kusikiliza neno la Mungu, au basi ongelea Bashite huku ukihusianisha na neno la Mungu na biblia.
 
Nafikiri wewe usije tu kimyakimya na wala usitoe sadaka. Tulio wengi tutaenda na tutatoa sadaka! Nakuhakikishia Jumapili ijayo tutakuwa wengi zaidi kuliko Jumapili iliyopita.

Halafu nina uhakika kama unatoa sadaka kubwa sana basi unatoa TZS 10,000/- ambayo si kitu kwa mtu anayemiliki Helicopter! You can as well die and go to hell, bado sisi tutakuwa church pale Ufufuo na Uzima tukiendelea na ibada while your a***ss is burning in hell!
 
Umelazimishwa kwenda?wewe umefuata umbeya tu
 

Kwani lazima uende huko au usipotoa hicho kisadaka chako cha mawazo ndiyo mwisho wa hilo kanisa?
 
kwani nyie si huwa mnasali ofisin kwenu lumumba..kwa gwajima kilikupeleka kitu gan?
 
Binafsi simlaumu Gwajima. Kama binadamu lazima ajieleze aeleweke kwa wafuasi wake vinginevyo wangepoteza imani naye. Hubu waza kwa sauti kidogo. Mchungaji asingekuwa imara leo si angekuwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya? Au unaweza kutabiri damage ambayo ingemfika iwapo ile clip ya yule mwanamama isingejulikana kama ni feki? Binafsi namuona Gwajima kama yuko katika wakati mgumu sana, hivyo ni sawa tu anavyofanya for the sake of his survival and integrity. Usimlaumu ndugu.
 

Acha ujinga wa kutufanya sisi wajinga! Najua umenielewa!
 
Kwani ulilazimishwa kwenda huko kanisani kwake au ulilazimishwa kutoa sadaka!!? Kama hupendezwi na mahubiri upo huru kwenda kanisa au dhehebu lingine kama ulivyoanza kwenda kwake ila ushauri ambao utakufaa kulingana na akili zako we anzisha tu kanisa lako
 
Vibaya hivyo mkuu, kachangie mafuta ya hedikopta.
 
Acha unafiki wewe,mtu umejificha nyuma ya keyboard huko mkoani RUVUMA unajifanya kuyaongelea mambo ya kanisa la ufufuo na uzima?Hatukutegemei ndugu,na kila kukicha kanisa linashona watu hadi basi na sadaka ndyo tunazidi kutoa maradufu licha ya hali ya kiuchumi kuboa.
ZIDI KUTWANGA MAMBO BABA ASKOFU WETU GWAJIMA.TUKO NYUMA YAKO.WATANZANIA TUNAKUHITAJI SANA HASA KIPINDI HIKI KULIKO KIPINDI CHOCHOTE KILE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…