Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #1,321
He is the one and the same licha ya tofauti za maelezo, hata Adam na Hawa ni wale wale, na uumbaji ni uleule ila maelezo tofauti. Ibrahim ni yule yule, Musa ni yule yule na Torati ni ile ile ya Musa, na Mungu ni yule yule!.Nabii Issa wa kwenye quran na yesu kristo wa kwenye biblia ni watu wawili tofauti kabisa soma historia zao vizuri kwenye hivyo vitabu(kuanzia kuzaliwa kwao hadi kuondoka kwao hapa duniani).Ingawa kwa vitu vichache wanafanana kama uponyaji wa vipofu na viziwi
Sent using Jamii Forums mobile app
P.