Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

He is the one and the same licha ya tofauti za maelezo, hata Adam na Hawa ni wale wale, na uumbaji ni uleule ila maelezo tofauti. Ibrahim ni yule yule, Musa ni yule yule na Torati ni ile ile ya Musa, na Mungu ni yule yule!.

P.
 
Umejuaje ni the same while unasema kuna utofauti wa maelezo?
Mimi nazungumzia maelezo yao yalivyoandikwa ni tofauti kabisa.
Quran na bible ni vitabu viwili tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni thread ya swali, inayoambatana na hoja, kama unamajibu, jibu hoja.

Swali ni dogo sana na very simple, hiki kinachofanywa na mchungaji huyu ndio kazi ya Mungu wa kweli au hii ni kazi ya mungu?!.
P
 
Umejuaje ni the same while unasema kuna utofauti wa maelezo?
Mimi nazungumzia maelezo yao yalivyoandikwa ni tofauti kabisa.
Quran na bible ni vitabu viwili tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Quran na Bible ni vitabu viwili tofauti but the subject matter is the same!.

Hata ndani ya Bible vile vitabu vinne vya Injili vina tofauti tofauti lakini the subject matter is the same, Yesu Kristo.

P.
 
Mungu huinua watumishi kwa kila kipindi kwa makusudi yake. Zamani kabisa alikuwepo Musa(mwanadamu mpole kuliko wote kwa kipindi chake) baadaye akawepo Eliya( Alikuwa na Uwezo was kusema na mvua isinyeshe miaka mi3 na nusu) watu wakala mpaka mavi ya njiwa. Kwa hiyo haishangazi sana kwa kuinuliwa nabii korofi kwa ajili ya kizazi korofi.
 
Kwa watanzania wanavyopenda umbea watajaa pomoni na watakuwa wakishangilia.
Hii nchi shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu huinua watumishi kwa kila kipindi kwa makusudi yake. Kwa hiyo haishangazi sana kwa kuinuliwa nabii korofi kwa ajili ya kizazi korofi.
Kauli, kauli, kauli huumba!.
Hala hala tusije kujiumbia kizazi korofi kwa kauli zetu hizi, nchi ikaja kushindwa kutawalika!.
P.
 
Yes Quran na Bible ni vitabu viwili tofauti but the subject matter is the same!.

Hata ndani ya Bible vile vitabu vinne vya Injili vina tofauti tofauti lakini the subject matter is the same, Yesu Kristo.

P.
Kumbuka najaribu kukutaarifu utofauti wa nabii issa na yesu kristo.

Issa alikufa na hakufufuka.Yesu alikufa na alifufuka.

Vitabu vya injili origin yake imeanzia kwa marko na maanisha marko ndio base.
I

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unasema wakristu na waislamu ni Watoto wa baba mmoja, Huyo baba ndiye kawaambia waislamu wasiamini alimtoa mwanae kafara? Ni baba wa mambo family anaesema kwa kupita kwa means ndizo utaingia mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika inaongoza kwa kuwa na manabii wengi kwa kuwa na makanisa mengi kwa kuwa na matamasha mengi ya nyimbo za injili halafu wakati huo huo inaongoza kwa umaskini.

Kutajirika ni rahisi sana, jifunze Biblia bila ya kuchoka, nunua viti vingi, kodisha ukumbi au kiwanja halafu weka mahema, wakusanye ndugu zako wakusaidie katika kununua maspika makubwa, halafu kuwa mvumilivu, ndani ya miaka michache tu wewe tayari milionea.

Ila usisahau kujiita Nabii, kwani neno hilo litakupatia wafuasi wengi sana.
 
Anakemea maovu yenu wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio huelewi. Hakuna ushabiki ila facts. Issa bin Maryam na Yesu Kristu ni tofauti.

Sent from my TECNO-J8 using Tapatalk
 
Kumtumikia Mungu ni bora zaidi kuliko kuitumikia serikali hilo halina budi kueleweka wana jamvi. Hebu jaribu kufikilisha akili yako katka hili maana tusichoshane kwa maadiko Mengi.
 
Issa ni Issa na Yesu ni Yesu. Kimantiki hata mazingira na jumbe zao ni tofauti. Hata hiyo sheria ya Mungu haijawahi kuoana. Ama ni sheria mbili tofauti, ama kitabu kimojawapo kimefanyiwa mabadiliko.

Sent from my TECNO-J8 using Tapatalk
 
Wewe ndio huelewi. Hakuna ushabiki ila facts. Issa bin Maryam na Yesu Kristu ni tofauti.

Sent from my TECNO-J8 using Tapatalk
Huo ndio ushabiki wenyewe. Ww umewahi kumuona Yesu? Umewahi kumuona Issa bin Maryam? Ujinga ni mzigo! Ktk uzao wetu hakuna aliyepata kuwaona hao zaidi ya kusoma kwenye vitabu!

Ukisema ni mtu mmoja au si mtu mmoja, vyovyote vile utakavyosema upo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…