Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Umedhihirisha ujinga wako. Nini maana ya historia kama unahitaji uone kila kitu? Pia Yesu Kristu yupo katika ROHO, na walio wa rohoni humuona!! Sasa neno hili ni gumu kwa mnaopima mambo kwa jinsi ya mwili. Nimepata kumwona? Katika roho, YES!!Huo ndio ushabiki wenyewe. Ww umewahi kumuona Yesu? Umewahi kumuona Issa bin Maryam? Ujinga ni mzigo! Ktk uzo wetu hakuna aliyepata kuwaona hao zaidi ya kusoma kwenye vitabu!
Ukisema ni mtu mmoja au si mtu mmoja, vyovyote vile utakavyosema upo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile utakavochagua kuamini, Upo sahihi mkuuUmedhihirisha ujinga wako. Nini maana ya historia kama unahitaji uone kila kitu? Pia Yesu Kristu yupo katika ROHO, na walio wa rohoni humuona!! Sasa neno hili ni gumu kwa mnaopima mambo kwa jinsi ya mwili. Nimepata kumwona? Katika roho, YES!!
Sent from my TECNO-J8 using Tapatalk
Ukitazama kwa kigezo cha NENO LA MUNGU, afanyacho mch Gwajima ni kutumia mgawanyiko wa kisiasa uliopo kwa maslahi binafsi. Nasi waumini wakristo tumehama kwenye njia ya NENO ambayo yatutaka kuishindania imani, na sasa tunawapigania watumishi. Ndio maana kitokacho kinywani mwa "mtumishi wa Mungu" kina nguvu kuliko andiko lililomo kwenye Biblia Takatifu.Hii ni thread ya swali, inayoambatana na hoja, kama unamajibu, jibu hoja.
Swali ni dogo sana na very simple, hiki kinachofanywa na mchungaji huyu ndio kazi ya Mungu wa kweli au hii ni kazi ya mungu?!.
P
Dini ni imani, kuamini kilichoandikwa, hakuna yoyote aliyeona akifufuka!. Mambo mengine ni imani kuamini tuu!.Issa alikufa na hakufufuka.Yesu alikufa na alifufuka.
Mungu kweli ni mmoja tuu, sheria ya Mungu ni sheria moja tuu ya Mussa, imeletwa kwenye Torati. Yesu hakuja kuitengua sheria ya Musa, amekuja kuikamilisha. Ni kweli sheria ya Musa, imepindishwa kwenye kitabu kimoja.Hata hiyo sheria ya Mungu haijawahi kuoana. Ama ni sheria mbili tofauti, ama kitabu kimojawapo kimefanyiwa mabadiliko.
Hayo nmekuonesha baadhi ya maandishi kutoka kwenye hivyo vitabu vinavyowazungumzia hao watu wawili tofauti by the way sijazungumzia imani yeyote.Dini ni imani, kuamini kilichoandikwa, hakuna yoyote aliyeona akifufuka!. Mambo mengine ni imani kuamini tuu!.
P.
Acha kuleta siasa za kuogopesha tangu lini nchi ikashindwa kutawalika kwasababu ya maneno ya mtu?Kauli, kauli, kauli huumba!.
Hala hala tusije kujiumbia kizazi korofi kwa kauli zetu hizi, nchi ikaja kushindwa kutawalika!.
P.
Labda amwite kijambo.maana anahisi hakuzaliwa alijambwa.unataka amuite nani mfu
Halafu mwambie hao aliwataja sio gwajima hapa tunamzungumzia Gwajima.Mbona Magufuli hajagombea uchungaji aligombea uraisi?
Chochote kisemwacho madhabahuni na mchungaji ni wakati wa ibada ni mahubiri.Kama ni kweli Gwajima ni mtumishi wa MUNGU basi haongozwi na roho anahubiri kwa kutumia mawazo yake. Inawezekana asemayo ni kweli lakini kwann aseme mbele ya watu maana yake anataka ahukumu,zaidi ya dakika 15 za hiyo clip hakuna hata neno la MUNGU alilohubiri zaidi ya story sina shaka anaweza kumaliza ibada nzima asihubiri kinachopaswa kuhubiriwa zaid ya kujivuna.
Hivi mkuu wamekuja watu wakasema ukiwa tumbo wazi una kinundu mgongoni, wakaongeza kama unabisha vua shati.NA ukivua tu demu uliyempenda na kumkubali ukamfukuzia karibu ya kumpata anakukataa mazima. Wewe utavua.Mi nashangaa sana ili jambo
Na naona mh makonda yeye mwenyewe analikuza hili jambo
Na najiuliza kwa nini asitoke hadharani akalimaliza ili jambo?
Tunajadili mambo ya kijinga huku mambo ya msingi tukiyapuuzia
Ni rahisi sana muumini wa kawaida kuingia mbinguni kuliko mchungaji kuingia mbinguni. Trust me
Kwa hili la Makonda naanza kuamini kuwa Gwajima ni NABBIIIJe, naweza kuuliza ni kwa nini?? Yaani walio wachungaji kama wanaitafuta mbingu waache kuchunga kundi la Bwana wakachungwe wao?? Nisamehe tu ila nayaita hayo; Mawazo mufilisi kabisa.
Pia Paskali namwambia; Manabii huwa wa kweli pale ayasemayo yanapotokea. Be patient Pascal
Mkuu huyu sio Nabii.Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.