Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #1,361
Mshenga sikuhizi anaunga mkono juhudi, labda ni kinafki tu kuinusuru roho yake kutoka kwa Israel Bashite mtoa roho.Je, inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?
Only Time will tell
P
P;Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.
Only Time will tell
P
Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.
Only Time will tell
P
Sii wengi wanaojua, mlengwa halisi sio Makonda, hawa wanamtafuta dingi mzee baba mwenyewe!.Mwandishi wangu bora wa muda wote, nadhani ingekuwa ni rais au waziri mkuu amepata hii Ban hapo sasa tungeongea but kwa mkuu wa mkoa me naona tuache tu
Sii wengi wanaojua, mlengwa halisi sio Makonda, hawa wanamtafuta mzee mzee baba mwenyewe!.
P
Copy ya matokeo ilikua inapatikana, you still my favourite here thoughHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Matokeo yana numbers tuu hayana majina!. Nilimsikiliza Mchungaji kwa makini alisema ana vyeti, kitu ambacho sio kweli.Copy ya matokeo ilikua inapatikana, you still my favourite here though
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kati ya Gwajima na Makonda ni nani hasa anayemtumikia Yehova Mungu zaidi ya mwenzake? Au pia ni nani anayetumika na shetani mara nyingi zaidi? Tuwe wakweli tu.Je, inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.
Only Time will tell
P
Jee inawezekana Mchungaji Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli and he was right na hili tukio la Makonda kuzuiliwa kuingia Marekani ni mpango wa Mungu kuwatumia Wamarekani kutuonyeshea ushetani wa Makonda, au Mchungaji Gwajima ni agent wa shetani na Wamarekani nao ni mashetani tuu, na huku kumzuia Makonda kuingia Marekani ni mpango wa shetani, hivyo sasa Mungu atalitumia tukio hili kuudhihirisha, utukufu wake kwa mtumishi wake?.
Only Time will tell
P
Makonda, hapokei 10% , na havunji ndoa za wauminiUnadhani kati ya Gwajima na Makonda ni nani hasa anayemtumikia Yehova Mungu zaidi ya mwenzake? Au pia ni nani anayetumika na shetani mara nyingi zaidi? Tuwe wakweli tu.
Awe au asiwe nyie mnataka mini?
Jamani midomo hii itawaponza,ushauri wa Bure tu,achaneni na watumishi wa Mungu,aliyewapa kazi ndo anawajua! Na haina maana hawakosei ni wanadamu,na biblia imesema wakianguka hata Mara 7 watasimama tena!
Msomeni Daudi,alijua namna ya kutubu na kutengeneza,ss nyie endeleeni kuongea kumbe mtu hata km alikosea alishatengeneza na Mungu!
Na Mungu akimpaka mtu mafuta huwa hamnyang'anyi kipawa kinabaki!na kinaweza kikanena kinyume chako!
Kumbuka "Mungu analiangalia neno apate kulitimiza"
Punguzeni midomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bams, asante kwa mchango huu, hayo nayajua, na nimeyazungumza mara kadhaa humu.Mtawajua kwa matendo yao. Maneno hayo Pascal unayaelewa?
Pascal, wapo wapakwa mafuta lakini kipimo chao siyo nukuu za biblia wala kuhubiri kwa sauti ya juu au uwezo wa kulia madhabahuni. Pascal, uzidi kuomba neema ya Mungu ili ujaliwe hekima ya Mungu, upate kuzijua siri za Baba wa mbinguni. Usipokuwa makini unaweza kushiriki katika kulihujumu Taifa la Mungu bila kutambua wala kukusudia.
Tuliwaambia nyie ni makopo ya takataka mnabeba kila uchafu!Asante sana Baba Mchungaji Gwajima...
Weka hivyo vyeti vya Daudi( Makonda) hadharani chonde chonde Baba Askofu.
Paskali, iko wapi ruhusa ya kumtaja mtu bila kuthibitisha, je muuimini alitisha kuwa uthibitisho?Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali