Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

[QUOTE="Pascal Mayalla,

Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Tuache kulewa na sifa au ushawishi wa Binadamu. Tuwatambue kwa matendo yao!!!! Ukweli mgumu huu…….kwa MATENDO YAO!!!!
 
Gwajima ni jitu jinga anakikundi cha ukabila km alivotangaza. Lakini magufuli kwa akili zake labda alinganishwe na nabii tito na nabii mashimo hao ni watu anaofanana nao na ndo washauri wake akiwemo musiba na bashite.
 
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa rais na Wabunge, sio vibaya kukumbushana baadhi ya kauli za viongozi wetu watarajiwa walisema nini huko nyuma kuhusu urais na ubunge na leo wanasema nini, sikiliza mwenyewe
Kisha sasa
P
 
naona huyu member aitwaye The bold alimpiga mkwara mzito sana Gwajima but naona jamaa bado yupo anadunda kama yote!

au aliwahiwa yeye (The bold) nini?!
 
Hii ni kwa Mara ya tatu kaumbuka tena.
Mambo ya picha, madawa, siasa yote ni sumu Kali lazima utaumbuka tu.
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% tukalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 

Hahaha 😂 😂 noo noo me naomba uendelee kuwa na msimamo wako ule ule wa mwanzo
 
Hahaha hahaha utu uzima dawa.
 
Ndani ya mandiko..Askofu anaruhusiwa kuwa mwanasiasa?
Sura na aya ipi ndani ya bibilia?
 
P
 
Sawa kabisa. Hukuwa unamuunga mkono Gwaji lakini kama ulivyo"declare interest" baada ya kuuona mwanga na pia agizo mlilopewa la kuhakikisha mnashinda kwa kishindo, sasa upo kazini kumnadi huyo ambaye ulikuwa unampiga vijembe hapo awali. Sina la kuongeza ila kukupa moyo uendelee kutekeleza agizo hilo kwa bidii zaidi kuwawezesha kulichukua hilo jimbo.
 
Wewe ni jamii ya watu wapuuzi kabisa ambao bado hawaja elimishwa
kama umetokea kuzimu leo kuja kujua Mungu wa kweli na wauongo usiende na gia ya gwajima ili kukufanya ujue maana kwake yupo Mungu wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…