Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Inaonekana husomagi bibilia hivi ulishawahi kusikia habari za Elia mtishibi na elisha Mungu haziakiwi
Pia unatakiwa kujua kuwa Mungu ni zaidi ya yote au nikuulize swali Mungu wako anachukua nafasi ipi .
 
Kama huyo mkuu wa mkoa alizushiwa uongo najiuliza swali yalikwendaje mpaka sasa yupo tu unakumbuka alichomwambia na unajua kuwa alipinga oder ya raisi je kiongozi gani haeshimu mamlaka iliyomuweka
 


Gwajima ndo mbunge wetu
Gwajima ndo chaguo letu
Tutaenda nae Dodoma
 
sasa wewe unaweza kuabudu mahari ambapo hapana uponyaji wala miujiza utakua haujatimia kwa kupunguza ukali wa maneno wewe utakuwa unaupungufu wa akili.
 
Na swali kwako katk kila ulilosema vyote vikitokea ulikuwepo hata moja ukashuhudia au ndo uchochezi na kuchafua wengine wakati mnarekodi ambazo hatujataka kuzitumia kuwaabisha.
 

Hahhahaa ndugu yangu Paskali ingawa najua sio jina lako halisi.

Kaa ukijua hatumchagui Gwajima unaemjua wewe tunamchagua Gwajima tunayemjua sisi na mwenye uwezo mkubwa wa kutetea hoja na kutuletea maendeleo.
 
Basi acha unafki ayo yote yamekutoka baada ya Gwajima kwenda na CCM na kutaka kuleta maendeleo kwa wananchi wa kawe na Gwajima ni lazima atuletee maendeleo kawe
 
Jimbo la Kawe limekuwa upinzani kwa miaka 10 na tumeshuhudia danadana za yule dada kwa kipundi chote hiki. Kama Halima tumempa nafasi mara mbili na ameshindwa hatuwezi tena kuendelea naye. Tumpe na Gwajima tuone maana kwa Halima hatutegemei tena jipya kwakweli
 
Daudi Bashite
Gwaj boy ni mchungaji anayeheshimika saana na mambo anayotaka kuyajenga kwenye taifa letu sio ya kitoto

Kwa wale wanaoelewa ndio wataenjoy lakini wale wenzangu ma mimi tukae na kumuunga mkono huyu gwaj boy na wala sio kukaa na kuanza kumuandikia mabaya mtandaoni haya hayajengi hoja yoyote
 

Ni heri kumchagua mbunge wa Chauma kuliko kumchagua tena Halima James Mdee ambae taarifa za utendaji wake wa kazi kwa miaka kumi yote ni ulaghai mtupu.
 
 

Kwa uelewa wangu jimbo la Kawe litafanikiwa sana kuongozwa na mtu wa Mungu, kura zangu kwa Gwajima siwezi kufanya makosa
 
Nimegundua kitu, kwenye mahubiri yake anatumia jina la Mh rais kama ngao. kama vile anampamba, lakini anakua anam-snich.

Hapo hajamtaja kwa jina, ili akijakuulizwa aseme hakumtaja makonda
kila mwenye akili iliyo pevuka anajua kuwa Gwajima nikiongozi anaye tumiwa na Mungu kuongoza watu waliopotea katika wokovu na kuonekana katika wokovu yeye ni Rais wa mbinguni na Duniani . utasemaje anam-snich JPM wewe kaaa kwenye reli utaelewa kinacho endea ulimwengu wa roho na wamwili.
 
Hakika kawe tunataka vitendo sasa ni vema sana kumpa mtu nafasi kabla haujamuukumu sisi ndo wanakawe na tunahitaji maendeleo na tunaweza kuijenga kawe au kuibomoa n vema tukachagua leo kiongozi bora ambaye ataleta maendeleo kwa jimbo letu na sio porojo tu
 
Tunahitaji kiongozi mchapakazi na anayeleta mabadiliko. Kwa sasa anachokifanya Gwajima kinanifurahisha sana anapita mtaa kwa mtaa bila kubagua watu, anasikiliza kero za watu wote bila kujali dini au kabila kwa hili nimelipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…