Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Halima na uongo wake wooote anadhani tutarudia kosa la kumchagua sahau ilo
Unatuletea hoja zako za uongoo
Safari hii tumejanjaruka tunaenda gwajima
 
Baada ya Mbunge mmoja, kumtaka mbunge mfufua watu afufue wapendwa wetu, mara baada tuu ya kutoa kauli hiyo Bungeni, kesho yake akaugua ghafla, akakimbizwa hospitali ya Muhimbili jana, leo akafariki dunia!.
Nikadhani kifo hicho ni mpango wa mbunge mfufua wafu, ili atende muujiza wa kumfufua!. Kumbe I was wrong kwasababu marehemu amezikwa bila kufufuliwa!.

Hivyo he just died natural death, huwezi kufufuliwa!. Wanao fufuliwa ni wale tuu, wanaokufa kwa kuchukuliwa misukule, ndio huweza hufufuliwa, wanaokufa kweli kwa natural death, hawafufuliki!.

RIP Mbunge marehemu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…