Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Kwel
 
KENZY kwenye huu uzi ipo hiyo video ya Gwajima akizungumzia habari za madawa yeye na Bashite wake
 
Hakuna watu washenzi na takataka tena wapuuzi wakiwa wamejaa upumbavu kama wanaojiita #Manabii. Wengi wao ni waongo na matapeli na wanatumia #NGUVU_ZA_GIZA, Hawapo kwa ajili ya kuwasaidia bali wamekuwa #WANYANG_ANYI WAKUBWA na kufilisi watu..
Hawa manabii ni wajinga mno, wanatumia neno la Mungu kuwaumiza watu, huku Shetani ndiyo misingi yao.

Hosea 6:4
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Manabii na maaskofu wa leo wengi wao ni #Utopolo na ni #Wezi.
Manabii au mitume gani wapo mijini tu vijijini hawapo?
 
unataka gwajima aende kolomije?atamtapeli nani kule.,?wote hawana kibunda
 
Mkuu Mshana Jr , kwanza asante kutembelea mitaa hii, maana wewe ni mmoja wa ma icon wetu humu pia you are an authority of your kind.

Ungesema baadhi, tusi generalize kuwa ni wote, wapo manabii wa ukweli, walioletwa na Mungu Baba na wanafanya kazi ya Mungu kwa kuhubiri neno lake, na wanafanya miujiza ya uponyaji wa kweli na unabii wao unatimia, na wapo manabii wa uongo wanaotumia nguvu za giza kufanya miujiza na wanamtumikia shetani.

Tuwatendee haki wale manabii wa kweli.
P
 
Asante P , hilo si andiko langu nimelinakili mahali na sikuweka umakini kwenyr maudhui yake neno kwa neno.. Hapo nakiri kukosea na niwaombe radhi wale ambao hawaendani na kaliba ya nilichonakili[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu, sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

#Gwajima Apuuzwe.
Duh...!.
Unamaanisha Gwaji Boy ni muongo?.
Please acha kumsingizia Mhe. Mbunge wetu kuwa ni muongo!. Hiki alichosema ni ukweli mtupu ila ni ukweli mchungu!.
Alicho kisema ni hiki

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…