Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Gwajima ni mhuni kam wahuni wengine

Gwajima ni dealer, kakoswa tu

Gwajima hana sura ya Yesu , kama wakristo mnamjua Yesu

Gwajima haishi maisha ya Yesu

Kavunja ndoa ya Mbasha anataka kumvunja nguvu mkuu wa mkoa !!
ni kweli kabisa..tatizo kuna wengine humu ni wakristu lkn hawajishughulishi kusoma maandiko..wasome Tito 1.5:9.waone jinsi askofu anavyopaswa kuwa kisha wamlinganishe na Gwajima..
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uonga aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?. Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu tuu, lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tuudhi?.

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au wa mungu?.

Jumatatu Njema.
Paskali
Kuna wakati nilikuwa namtetea huyu Askofu nikifikiri ni mtumishi wa Mungu wa kweli. Ila picha anayoonyesha si ya Yesu Kristo.

Hili la kulipa BAYA kwa BAYA SI la YESU bali ni lugha ya SHETANI.Na imenipa MASHAKA zaidi kama kweli huyu ni mtu wa Mungu.

Yesu alisema WAOMBEENI wanaowaudhi. SAMEHENI mnapokosewa na MSILIPIZE KISASI.
Sasa huyu Gwajima mbona anafanya the opposite?
Ameniacha na MASWALI mengi kuliko MAJIBU!
 
Kuna wakati nilikuwa namtetea huyu Askofu nikifikiri ni mtumishi wa Mungu wa kweli. Ila picha anayoonyesha si ya Yesu Kristo.

Hili la kulipa BAYA kwa BAYA SI la YESU bali ni lugha ya SHETANI.Na nimenipa MASHAKA zaidi kama kweli huyu ni mtu wa Mungu.

Yesu alisema WAOMBEENI wanaowaudhi. SAMEHENI mnapokosewa MSILIPIZE KISASI.
Sasa huyu Gwajima anafanya the opposite.
Ameniacha na MASHWALI mengi kuliko MAJIBU!
Hayo fanyeni kwa wengine lakini hilo la makonda kubambikia watu kesi za unga halifai kusamehewa milele.
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".

Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au wa mungu?.

Jumatatu Njema.
Paskali
Mtumishi yetote wa Yehova Mungu, sio Gwajima peke yake, ni mkuu kuliko rais wa nchi yoyote hapa duniani, yaani ni mkuu kuliko rais kwa mfano, wa Marekani, au Uingereza, au Ujerumani, au Japan, n.k., n.k. Unless you don't know the Mightiness of Jehovah, the Living God.
 
Kwamba Msigwa na Getrude (wachungaji) walijidemote! Na mchungaji Jesse Jackson (US) alitaka kujidemote! Fweza nazo zinalewesha!
====
Mkuu Paskalli, naomba umuulize (Gwajima) utaratibu alioutumia kupata vyeti vya Makonda,wakati tunajua vyeti vyote vya viongozi wa serikali nakala ziliwasilishwa 'serikalini ' na original vilibaki kwa wamiliki halali wa vyeti hivyo.

Hata kama anazo photocopy bado zitaonesha alama zenye taarifa zile zile zilizopo ktk cheti original...
 
Kiukweli maombi ya kumuombea mabaya adui si maombi ya kikristo ....hivi hatujiulizi kwanini Yesu aliwasamehe waliomtenda yale? Vita ni juu ya Bwana na si kazi yetu kuhukumu ....tumepewa silaha za kupambana na Roho chafu na kuvaa silaha za vita vya kiroho ....ukianza kupambana kimwili nature ya mapambano ya kimwili itachukua nafasi na mshindi atakuwa yule mwenye mabavu kimwili ....Gwajima amechafuliwa ...ndio ...alishajibu tuhuma kwenye media na polisi ....inatosha ....amtumikie Bwana ambaye ndiye mtetezi ....haya mavita yanamtoa kwenye reli ya Kiroho ....Mungu amsaidie kwasababu amebeba jina la KRISTO na nyuma yake kuna watu wanaomuamini Kristo kupitia yeye ....TUOMBEANE SISI KWA SISI ....
 
Yes huo ni kwel nani zaidi ya Mungu, Kwa jina la Mungu kila baya halina nafasi na Kwa jina lake kila kitu kinawezekana mkuu
 
Wanabodi,
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "kiumbe".

Japo ni kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alimdhalilisha Mchungaji Gwajima kwa kumtaja kujihusisha na madawa ya kulevya, jee namna ambayo Mchungaji Gwajima, anavyomzungumzia Mkuu wetu wa Mkoa, ndivyo Bwana Yesu alivyofundisha namna ya kuwashughulikia wale walio tukosea?. Yesu alifundisha mtu akikupiga kibao shavu la kushoto mgeuzie na la kuume. Adui mpende. Samehe saba mara sabini. Vipi kuhusu Baba Mchungaji Gwajima kumuishi Bwana Yesu kwa maneno na matendo? .

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au wa mungu?.

Jumatatu Njema.
Paskali
Uwe na akiba ya maneno
 
a33b3b7ca75cd8516b228acb0569f9fe.jpg

I guess ana matokeo kama haya
na huyu naye o nayeye atumbuliwe
 
Ila ukiacha iyo side A ya kanda mbona kuna wa2 wa side B nawajua ni watu wanene sana na hatuna taarifa za waliposoma?

Napita tu jamani msinipige mawe.
 
Back
Top Bottom