Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Nina shaka na uaskofu wa Gwajima! Kuandika hivi sina nia mbaya....narudia tena sina nia mbaya na wala sipo upande wa mtu yeyote yaani sipo kwa Gwajima wala Bashite.......

Kwa mtazamo wangu kiimani naona kwamba "reactions" za huyu baba askofu kwa Makonda hazisadiki dhamana kubwa alinayo kama askofu mbele za mwenyezi Mungu! The fact that we are not perfect, we can't use it as an excuse! If God is only what we have then God is only what we need..

Haina haja ya kujikweza na kujionesha ni jinsi gani tulivyo wasafi na waungwana mbele za binadamu kwa kupitia madhaifu ya adui zetu isipokua maandiko yanasisitiza tuwaombee adui zetu na kuwasamehe wanaotuudhi....!!!

Ninaamini kuwa unyenyekevu ni kati ya nguzo muhimu sana kwa wafuasi wa Mungu! Bila shaka kuna ndugu zangu wengine mtakua mmenielewa......

Thanks for your attention and may God bless you abundantly!!!
All I can say is let's pray for our country!
 
Mimi ningekuwa Serikali ningepiga marufuku watu binafsi (indivisuals) kufungua makanisa.Kwa sasa it is mess.Kuna sehemu nimepita jana kuna kuna makanisa 2 mita 30 ya imani moja nikauliza kwa nini nikaambiwa mwanzilishi alitofautiana na msaidizi wake kila mtu akaondoka na wafuasi wake.Mm ni mkiristo lakini naona kuna kitu si sawa kwenye makanisa.Yamekuwa biashara kama shule za private.
 
hupendi kusali, wewe ni mtumishi au mtumwa wa shetani ndio maana hupendi kuona makanisa. waache wanaosali wakasali. wanapojenga hawatumii hela yako, huwalishi, huwasaidii lolote na pengine wewe ni masikini kuliko wao. una faida gani kwao hata uwaamulie nini wafanya hapa tz.
 
Yaani inasikitisha sana! Lakini aliye kupa wewe hayo macho ya kugundua unayo yaona ndiyo aliyemnyima huyo kipofu! Life goes on and time is the answer! Tutembee na Mola wetu sisi na vizazi vyetu na nchi yetu Tanzania milele yote!
 
Hivi issue ya kiongozi kama yeye kuambiwa kamzalisha mtu halafu kamtelekeza na kumfukuza ni issue ndogo? Hebu zaa nje ya ndoa halafu mkeo ajue, utatupa mrejesho .
 
hupendi kusali, wewe ni mtumishi au mtumwa wa shetani ndio maana hupendi kuona makanisa. waache wanaosali wakasali. wanapojenga hawatumii hela yako, huwalishi, huwasaidii lolote na pengine wewe ni masikini kuliko wao. una faida gani kwao hata uwaamulie nini wafanya hapa tz.
Sitaki kuingilia imani za watu lakini wakiristu tunatia aibu na utitiri wa makanisa.Sitaki kujadili masuala ya udini hapa
Hivi issue ya kiongozi kama yeye kuambiwa kamzalisha mtu halafu kamtelekeza na kumfukuza ni issue ndogo? Hebu zaa nje ya ndoa halafu mkeo ajue, utatupa mrejesho .
 
Sitaki kuingilia imani za watu lakini wakiristu tunatia aibu na utitiri wa makanisa.Sitaki kujadili masuala ya udini hapa
"Utitiri wa makanisa" hiyo ni mada nyingine.

Lakini kama wewe ni Mkristo kweli utakua unajua kwanini kuna makanisa mengi, Yesu alizungumzia Hili Zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
 
hutaki kujadili masuala ya udini hapa kwani si ndio umeyaanzisha? halafu, unajua maana ya dini wewe? unajua maana ya haki ya kikatibia kuabudu hapa tz? unajua hata wanaoabudu miti na mizimu hapa tz wanaruhusiwa? hii sio nchi ya kikristo wala ya kiislam, ni secular state hivyo huwezi kukwepa kuyaona hayo makanisa, labda uhamie nchi nyingine ambako makanisa hayapo kama unaona yanakukera.
 
"Utitiri wa makanisa" hiyo ni mada nyingine.

Lakini kama wewe ni Mkristo kweli utakua unajua kwanini kuna makanisa mengi, Yesu alizungumzia Hili Zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Kwa kweli hii ni mada nyingine."Siku za mwisho zitakuwa siku za hatari"!
 
mku rudi kwenye kitabu kinachozungumzia hadithi ya Mussa ukisoma kwa makini utagundua kuwa kuna wapelelezi walitakiwa kwenda kupeleleza mji fulani lakini kati ya hao wapelelezi kuna ambao waliasi...Musa alichukizwa sana akaamua kukiangamiza kizazi chote cha hao wapelelezi walio asi...hatimae Mussa hakufanikiwa kufika kwenye mji aliahidiwa na Mungu...hivyo mambo anayo yafanya Gwajima ata mitume pia waliyafanya...tumuache Gwajima afanye analoona linafaa kufanywa...si avunji sheria za nchi
 
mkuu Mungu atakuwa na mzigo mkubwa sana kama kila kitu tutaamua kumuachia yeye...auwaye kwa upanga lazima na yeye auawe kwa upanga...amelaaniwa mtu muoga.
kwa sababu alisema tusihukumu tusijetukahukumiwa ni bora kujitoa kwenye hilo.. halafu sijaona sehemu Mungu akiomba msaada kwenye bible mkuu
 
Bt he go against God! Mtumish wa Mungu hapaswi kuwa ivo
Anapaswa kuwaje labda tuanzie hapo ?? maana unaonekana wewe ni mtu mkubwa sana ambaye unajua viongozi wa dini wanapaswa kuwaje
he goes against God ,how!??
 
Back
Top Bottom