Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

ana mke na mke wake mdogo ni Flora mbasha, sikushauri
Flora mbasha mlisema ataolewa na Gwajima, je kadi za mchango wa harusi zinamtaja Gwajima? Wanaume muache ulege lege ona sasa malijari wanachukua chombo jumla jumla,bibie anatoka Ndoani anaingia kwenye ndowaaa
Acheni kumlaumu baba Askofu kwa ujinga wenu,mlisema mtoto wa Diamond Tifa anafanana na Ivan lakini sasa mmesema anafanana na Diamond
 
Lakini si kwa kufanya tendo hilo kwenye Madhabahu.
Hajawahi kutokea Na haitakaa itokeee. Kwa fitina Na uzushi unainajisi Madhabahu ya Bwana IPO siku Mungu atakupiga mapigo makuu kwa kumzushia Mtumishi! Unaijua Madhabahu wewe au chuki tu. Kufoji Vyeti kwa Daudi Albert Bashite kumepelekea hadi mumtukane Mtumishi wa Mungu!! Dawa za kulevya imedunda havuti/hauzi.
Endeleeni kuweka miguu kwenye "Mashine ya Kusaga Na Kukoboa" Mtageuka Sembe!
 


Mimi ninachojuwa ni kwamba Gwajima ni muongo....mwaka jana alidanganya watoto wa kaka yake kuwa atamfufua marehemu baba yao lakini mpaka leo ni mwaka sasa bado hajamfufua huyo kaka yake, tumueleweje? Mtu mpotoshaji si wa kumuamini hata siku moja, atawalostisha tu.
 
Ambalo nina hakika nalo ni kuwa yeye ni katika manabii wa uongo ambaye kutokana kondoo kuwa wengi mjini amewakusanya na kuwakamua kidgokidogo.
Umerogwa na mmoja, kwani wangekuwa wengi wangeshauriana wakuachilie kidogo fikira zako!
 
Kaz ya mojawapo ya watumishi was mungu ni ku-reflect jamii na inapobidii ni kuishauri iwe moja kwa moja au vinginevyo, gwajima yupo sawa kma watawala wameshindwa kutimiza wajibu wao
 
Hahahahah wapi mtamsema sana mchunga baaada ya kumwaga mboga...
 
Mithali : Mlango 6

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake .

Hivi maana ya neno zito hili ni nini hasa! Kama wale waitwao wana wa Mungu wameshindwa kuelewa kwa nini Biblia imesema hivi je, si vema basi tuwaite walio wa kiroho (spiritualists) waeleze maana halisi ya neno hili kiroho kwa upande wao? mshana jr
 
Sasa ulitaka azini na mwanaume? Mimi nijuavyo wanaume woote huzini na wanawake, sasa huu mstari wako unataka kutuaminisha kwamba wanaume wabinuane ili wawe na akili ama?
 
Sasa ulitaka azini na mwanaume? Mimi nijuavyo wanaume woote huzini na wanawake, sasa huu mstari wako unataka kutuaminisha kwamba wanaume wabinuane ili wawe na akili ama?
Let the world judge you
 
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
HATA YEYE PIA NI BINADAMU KAMA WW SO ANA UDHAIFU KAMA WEWE ULIVYO SIO KUWA NI MALAIKA GWAJIMA.PIA USIANGALIE DHAMBI ZA MWENZAKO NA ZAKO ZIKOJE MKUU.KUMBUKA YEYE SIO MALAIKA ILA NI BINADAMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…