hunchback
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 658
- 289
Nitawashangaa sana wale watu waliokuwa wanahoji kwa nini suala la vyeti vya Daudi Bashite liibuke baada ya yeye kuwataja wauza madawa ya kulevya.
Mshangao wangu utakuja pale watu haohao watakapoanza kushabikia hii tetesi ya Gwajima kuzaa na huyo dada.
Ikibidi nitatumia hoja zilezile za kwao, kwa nini hili suala liibuke sasa hivi baada ya Gwajima kuendelea 'kumsakama' Paul Makonda!?
Je kuna ajenda ya siri ya kutaka kumchafua ili kumvunja moyo asiendelee na kile anachokifanya!?