Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja kwenye hoja kuu ya Uzi huu.
Kwa muelekeo wa kamati ya Mh. Samia na ushauri wake, na kwa maamuzi ya serikali kuhusu kuchanjwa. Sote tuna imani wataalamu wetu wa afya wameshirikishwa vya kutosha, pia tunaamini vyombo vyetu vya usalama nikimaanisha idara ya Usalama wa Taifa wameshafanya Upembuzi yakinifu na juu ya tuhuma hizi za chanjo ya Covid kuwa hatari kwa maisha yetu. Kwa hiyo mpaka chanjo inaingia maana yake "there is no doubt about it" . Lakin tunafahamu hata itakapoingia itachunguzwa pia na kuthibitishwa zaidi.
Kimantiki ninashauri Mch Gwajima afunguliwe kesi 3 za msingi ambazo ni Uchochezi, Uhaini na Ugaidi kwa jinsi nilivyojifunza muundo wa siasa zetu.
Shitaka la kwanza la uchochezi liko Clear kuwa ana"mislead " wananchi kwa kupotosha kitu ambacho hajafanyia utafiti kitaalamu maana alitakiwa aje na ripoti yake ya uchunguzi kitaalamu tungemuelewa. Gwajima ni mbunge na ni kiongozi wa kiroho hivyo ana ushawishi mkubwa sana. Inavyoonekana anatumia ushawishi wake kuwagawa watanzania, kuwafanya Raia kupinga maamuzi ya serikali, anaingilia masuala nyeti ya afya za watanzania. Hebu tujiulize ikitokea Bagonza akapinga Chanjo ya Surua, Bakwata wakapenga ya Pepopunda, Makamba akapinga ya Polio itakuwaje huko Mbele. Nauona huu ni uchochezi kabisa.
www.jamiiforums.com
Kwanini afunguliwe kesi ya Uhaini, ni kwa sababu anaingilia Muenendo wa Rais, viongozi wakuu wa serikali na vyombo vya usalama vya nchi. Kwa kauli yake Gwajima anaamuru maaskari, makachero na maofisa wa vyombo vya ulinzi na usalama wasichanjwe huku akiwatishia kuwa watadhurika. Hii litawafanya wao kukwepa au kupinga amri hii na hapa Gwajima atakuwa "accessory after the fact" ya uhaini huu wa Askari wetu. Lingine ni kutuhakikishia kuwa Viongozi wakuu wa serikali akiwamo Rais watadhurika ama hata kufa baada ya kutumia Chanjo hii. Gwajima anapaswa kuhojiwa na kuiambia Serikali ametoa wapi taarifa hizi za Rais kudhurika kama akitumia hii chanjo. Itakapokuja kutokea isije ikaonekana alikuwa na maono ama vip. Iisje maadui zetu wakapata mwanya huohuo wa maneno ya Gwajima kumdhuru Rais wetu mpendwa.
La mwisho Gwajima napaswa kupewa kesi ya Ugaidi ama kuhusishwa na huu ugaidi ama kuwa shahidi wa muhimu wa njama za ugaidi anaousemea yeye against taifa letu. Gwajima anajua ama ana taarifa za watanzania Mamilioni kudhurika ama hatimaye kufa kwa matumizi ya dawa hizi. Anaaswa kukamatwa na kuhojiwa kwa habari hizi. Nevertheless kama si kweli kesi ya ugaidi inamuhusu. Huu ni ugaidi wa kifikra na mawazo ya watanzania ikiwemo kuwatia hofu "Terror -> Terrorism" .
Nitoe Rai jwa vyombo vya ulinzi na usalama kumchukulia hatua Askofu Gwajima, tuache yale ya watu kusema Mkuu fulani anaumwa, mkuu fulani atafariki na wakachekewa hatimaye inakuwa kweli then wanaitwa manabii.
Na pindi ikitokea hii chanjo kuna mtu amedhurika , Mtuhumiwa wa kwanza awe Gwajima. Ikitokea Covid ikatupiga zaid sababu ya kutochanjwa Gwajima anatakiwa ashitakiwe pia kwa kutufanya tupingane na WHO .
Kazi na iendelee!..

#COVID19 - Waziri Mkuu: Tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Serikali haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya corona. Amewataka Watanzania wapuuze upotoshaji unaosambazwa “Chanjo ni hiari tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake." ========= WAZIRI Mkuu...