#COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

Wewe hujasoma watu kuganda damu au kufa,au hedhi kubadilika hedhi baada ya kuchanjwa?

Haya hebu tujuze long term side effects za chanjo?
Tujuze kwanini consent form inaeleza serikali haitahusika kwa lolote likimpata mgonjwa?
Hizo ni rare case hata hapa bongo kuna watu tukitumia dawa flani inaleta reactions mbaya it's normal, hata chanjo za tb, surua, polio huwa tunaxhomwa ila kuna saa Zina react negative kwa baadhi ya watu. Hafu hyo reaction ya wachache isiwe sababu eti chanjo ni mbaya mbona hata pnv, azuma nazo hudunda kwa baadhi ya watu na kwingine hufanya vizuri.
 
Hofu lazima iwepo inapohusisha RNA na DNA lol.
 
Naunga mkono. Huyu Gwajima akamatwe ili awataje hao anatuhumu wamepewa pesa na Bill Gates na kuthibitisha.
 
Mawazo hayapigwi rungu! Ni vizuri kumkosoa kwa hoja na kwa tafiti zilizothibitishwa kisayansi na wataalamu!
Kumnyamazisha wakati anatoa hoja kwa kile anachoamini ni kumwonea!
 
Dah! Hiyo aya ya pili kutoka mwisho mbona ya kibabe sana...

Watu wakidhurika kwa chanjo (wakichanjwa) akamatwe ashtakiwe na hata watu wakidhurika kwa corona (wasipochanjwa) akamatwe pia!
 
Mawazo hayapigwi rungu! Ni vizuri kumkosoa kwa hoja na kwa tafiti zilizothibitishwa kisayansi na wataalamu!
Kumnyamazisha wakati anatoa hoja kwa kile anachoamini ni kumwonea!
Hakuna hoja ya msingi anatoa. Hajatoa hoja yoyote ya kisayansi yenye ushahidi.

Mbaya zaidi anatuhumu watu kupewa pesa ili waruhusu chanjo. Awataje hao watu vinginevyo huu anaofanya ni uchochezi. Anatakiwa kushughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za CCM na serikali. Hatuwezi kuwa na viongozi wa namna hii. Ndio,mbunge ni kiongozi. Unakuwaje na kiongozi ambaye qnapinga maamuzi ya serikali ya chama chake na kidhalilisha viongozi kwa tuhuma za kutunga?
 
Nadhani wa kuonea huruma ni wale ambao maamuzi yao ni ya kuambiwa na mtu na sio kutoka kwenye fikra zao..., Ukizingatia yule anayewaambia sio mtaalamu wa kile anachowaambia...
 
Unajuaje? You never know huenda ana ushahidi wa kutosha kwa kile anachosema.
 
Its very sad yani. Africa sijui tutajiamini lini.
 
Tumechanjwa chanjo nyingi sembuse hii ya covid-19 acheni kutisha watu kwa kulishwa matango pori na huyo gwajizo
Rejea hapo kwenye kuhusisha DNA na RNA, sio issue ndogo. Matokeo yake yaweza kuwa vituko... yani tunakuwa genetically modified organism!!!!. Anyway watu hawana utu.
 
Haya maneno ya Gwajima ange yasema Sheikh Ponda, au Mch. Msigwa muda huu wange kuwa Segerea kwa kesi ya uhujumu uchumi. Kwa Ccm watatoleana matamko tuu.
 
Rejea hapo kwenye kuhusisha DNA na RNA, sio issue ndogo. Matokeo yake yaweza kuwa vituko... yani tunakuwa genetically modified organism!!!!. Anyway watu hawana utu.
Mpaka we na Gwaji mjue jinsi DNA na RNA zinavo fanya kazi mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…