#COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

Hivi kwanini hajakamatwa hata sasa!??
 
Huko FB hazifutwi post za akina Gwajima tu wanafuta hata madaktari na wataalamu mbalimbali na Youtube ni hivyo hivyo, sasa haieleweki kipi cha kupotosha na kipi hakitakiwi watu kusikia tu?
 
Na wewe ni lini na wapi, kwa kutumia maabara gani ulithibitisha kua chanjo zina madhara. Hadi takwimu za hivi karibuni watu 3.8 billion ambayo ni nusu ya dunia wameshapata chanjo, huku bara la Africa likiwa na pungufu ya asilimia 3 ya watu wote wa bara la Afrika waliochanjwa. Na hii inasabbishwa na watu wapotoshaji nachelea kusema jamii yako na huyo unaemtetea. Madhara yake gonjwa hili litatia kambi barani Afrika kwa miaka kadhaa. Mfano mdogo ni Malaria na Kipindupindu. Magonjwa haya yalikuwepo nchi zote miaka ya huko nyuma. Lakini kwa sasa yamebaki sana Afrika na Asia, kwanza kwa sababu ya umaskini, uduni wa fikra, maarifa na ujuaji usio na uthibitisho wa kisayansi na kuendekeza kufuata mkumbo na maneno ya kwenye vijiwe. Na kwa trend hii, Afrika isipochukua hatua, huu ugonjwa utatia kambi barani kwa miongo.
Mzaha ni mwingi sana.
 
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
 
Huko FB hazifutwi post za akina Gwajima tu wanafuta hata madaktari na wataalamu mbalimbali na Youtube ni hivyo hivyo, sasa haieleweki kipi cha kupotosha na kipi hakitakiwi watu kusikia tu?
Zote za kupotoshwa zifutwe
 
Yaani siku zote nilikuwa ninakataa kumuona mh.Gwajima kuwa ana matatizo hivi....

Ila....

Haya ya juzi YAMENIDHIHIRISHIA mengi mno.....daah


It's terrible.....

#KaziIendelee
 
Mbowe alikuwa na dalili zote za umumiani; anza na yaliyomtokea Chacha Wangwe baada ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti.
Hujui kitu wewe msukule wa Lumumba. Chacha alipambishwa na CCM kupitia kitengo akaanzisha ugomvi,wakazidi kumchochea tifu lilipofika kwenye peak wakamuua wakijua jumba bovu litamuangukia Mbowe. Waliaanda watu wa kulipazia sauti na mmoja wao alikuwa Marehemu Mtikila,wakalipeleka kwa Wakurya wakati wa uchaguzi mdogo kujaza nafasi iliyoachwa na Chacha na aliyebeba bango akawa Mtikila. Uzuri Wakurya siyo mabwege wakamfumua jiwe Mtikila na wakachagua mtu toka Chadema tena kujaza nafasi hiyo. Na hadi leo hii mtoto wa Chacha ni kada mtiifu wa Chadema,hii propaganda muflisi ili fail nashangaa hadi leo wewe unaishikia bango kudhihirisha uzezeta wako.
 
Na hadi leo hii mtoto wa Chacha ni kada mtiifu wa Chadema,hii propaganda muflisi ili fail nashangaa hadi leo wewe unaishikia bango kudhihirisha uzezeta wako.
Huyo mtoto hajui kilichomtokea baba yake maskini. Laiti angejua .......!
 
Mbona huyu hakukamatwa?
Sikiliza kuanzia 1:15

KAMA UNA HELA TUPE TUGAWANE KORONA INANUSA WENYE HELA ENDELEA KULA DAGAA ZAKO"MCH MGOGO​

 
Huyo mtoto hajui kilichomtokea baba yake maskini. Laiti angejua .......!
Wewe ndiye hujui unakariri,tafuteni nyingine hii imeshapitwa na wakati. Kwa Serikali hii ya kidhalimu kama ni kweli Mbowe alimuua Chacha angeshajifia jela. Hata hii ya sasa itapita kwani tuhuma zilizotengenezwa na Sabaya kwa maelekezo ya yule dhalim aliyeko motoni sasa
 
Uzi wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…