Mchungaji Gwajima yupo wapi? Hatuoni akijitokeza na kuongelea mustakabali wa nchi kama tulivyomzoea

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Je Gwajima amelambishwa asali?

Je Gwajima amepata vitisho ?

Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?

Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi?

Jasusi wa mbinguni bado unahitajika na wananchi uwapazie sauti.
 
Hata akiongea watanzania mmekaa kimya ham juu cha kufanya.ni bora ajikalie kimya tu
 
Gwajima yupo katulia maana wanataka kumkamata very soon na toka alivyomaliza mkutano wake pale kunduchi amepotea public....
 
Back
Top Bottom