Maneno ya ze bull dozier ama?Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
Avatar na post yako mme-Faana Haswaa!Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
Mfuate upate upakoWakristo tuko na hali mbaya. Huyu pichani naye ni nabii. Anajiita Prophetes Naise
View attachment 3205528