PostGE2025 Mchungaji Hananja: Mwanangu alipigwa risasi kwenye maandamano. Chupuchupu afe, ana bonge la kovu mgongoni

PostGE2025 Mchungaji Hananja: Mwanangu alipigwa risasi kwenye maandamano. Chupuchupu afe, ana bonge la kovu mgongoni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hananja ni mtu mpumbavu sana tena sana....hivi unawezaje kusema watu wasidai maiti eti ilikuwa vita?...kweli?...fala sana huyu...polisi walikusanya miili walipeleka wapi?...unalinganishaje tukio hili na M23?....huko ukraine 🇺🇦 kwenyewe miili inarudishwa nyumbani kwa heshima....watu wafupi huwa wajinga sana...
 
Hamas wamekaa na mwili wa Joshua Mollel miaka mitatu na wameurudisha.

Na ndo wapo vitani kabisa.
 
Pole sana mchungaji wangu, kumbe ndiyo maana nilikuwa naona ibada zinaendeshwa kinyonge sana siku hizi na wazee wa kanisa nao wameuchuna tu.
 
Hawa wazee walipaswa wakaongee na Rais kwanza na sio wananchi...

Huyo mwanaye hakupigwa risasi na wananhi, ila mamlaka zinazomiliki silaha...
Walipewa na nani idhini ya kupiga risasi raia?? Je vyombo vya ulinzi na usalama havikujua hili??mtoto wa shule ya msingi anapigwa risasi anaimpact gani kwenye huu utawala dhalimu??
 
Ni uongo tu, aweke picha ya huyo mwanaye na jeraha tuthibitishe.

Yeye alitaka kuuvaa uhalisia wa wazazi waliopata madhira ya kufiwa, majeruhi na kupoteza au kupewa kesi za uhaini.

Akaona achague kimoja wapo ili kutujaza upepo.

Kamati ya kijinga hiyo ina leta je amani kwa upuuzi huo?

Muhuni hapo anasubiri posho akalale, mchingaji comedian adiye na kanisa.

Angekuwepo mwenyekiti wa chaumma Sipenga angesema ukweli, yule wakilipwa posho husema tumelipwa posho na chakula tumepewa hataki ujinga.
 
Back
Top Bottom