Hamas wamekaa na mwili wa Joshua Mollel miaka mitatu na wameurudisha.Hananja ni mtu mpumbavu sana tena sana....hivi unawezaje kusema watu wasidai maiti eti ilikuwa vita?...kweli?...fala sana huyu...polisi walikusanya miili walipeleka wapi?...unalinganishaje tukio hili na M23?....huko ukraine 🇺🇦 kwenyewe miili inarudishwa nyumbani kwa heshima....watu wafupi huwa wajinga sana...
Ndo maana huyo hananja na majini wamekuwa wa kwanzaMungu hadhihakiwi, anyway malipo ni hapahapa
Walipewa na nani idhini ya kupiga risasi raia?? Je vyombo vya ulinzi na usalama havikujua hili??mtoto wa shule ya msingi anapigwa risasi anaimpact gani kwenye huu utawala dhalimu??Hawa wazee walipaswa wakaongee na Rais kwanza na sio wananchi...
Huyo mwanaye hakupigwa risasi na wananhi, ila mamlaka zinazomiliki silaha...
Waambie mashosti zako hapo jiraniMchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu.
Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar
Hamna alivyopigwa mwanae ndio inamuuma mnooo trust meInatakiwa apgwe yeye mwnyewe tena ya kichwa kama sheikh majini. Wu a yuu gayizi..