Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Kwa maslahi ya mafisadiTuseme kwa ustaarabu wa nani na kwa maslahi ya nani?
Tunalitambua hili ndiyo maana hatupaswi na wala hatuko tayari kuongea lugha ya kistaarabu na watu wa aina hiyo!Kwa maslahi ya mafisadi
Mkisema sana mnawaamsha waliolala
Usimuamushe alielala utalala wewe (wahenga)
Hakika📌Tunalitambua hili ndiyo maana hatupaswi na wala hatuko tayari kuongea lugha ya kistaarabu na watu wa aina hiyo!
Kwakuwa hajatamka unachopenda kusikiaHana jipya tena huyu!
Wewe utakuwepo,au utalipia router yako kisha unaperuzi kuona kinachojiri,ingia roadMpira uwekwe kati ngoma irudiwe upya hizi blabla hazina maana
Hqnqnja Ni mlezi wa NGOs za mashoga na wasagaji.Hana jipya tena huyu!
Sasa mbona hajatoa suluhisho? Awaache CCM na matatizo yao wayatatue wenyewe
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo. Hananja amesisitiza kuwa amani ni tunu muhimu inayopaswa kulindwa na kila Mtanzania, akionya kuwa kuvunjika kwake huwaathiri zaidi watoto na wazee. Aidha, ametoa wito wa kutafuta suluhu za tofauti kwa ustaarabu huku akieleza kuwa kujenga amani ni kazi ngumu lakini kuiharibu ni jambo la muda mfupi.
Ametumwa na nani kutoa maoni haya? CCM sasa wameanza kuwatumia wasanii kuwatetea.
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo. Hananja amesisitiza kuwa amani ni tunu muhimu inayopaswa kulindwa na kila Mtanzania, akionya kuwa kuvunjika kwake huwaathiri zaidi watoto na wazee. Aidha, ametoa wito wa kutafuta suluhu za tofauti kwa ustaarabu huku akieleza kuwa kujenga amani ni kazi ngumu lakini kuiharibu ni jambo la muda mfupi.
Kwamba kitima alikuwa hasemi kwa usitaarabu, gwajima hakusema kwa usitaarabu na polepole naye hakusema kwa usitaarabu, Yule Mzee kada wa CCM waliyempa kesi ya uhaini hakusema kwa ustaraabu!?
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo. Hananja amesisitiza kuwa amani ni tunu muhimu inayopaswa kulindwa na kila Mtanzania, akionya kuwa kuvunjika kwake huwaathiri zaidi watoto na wazee. Aidha, ametoa wito wa kutafuta suluhu za tofauti kwa ustaarabu huku akieleza kuwa kujenga amani ni kazi ngumu lakini kuiharibu ni jambo la muda mfupi.
Mchungaji Richard Hananja amesema changamoto zinazojitokeza katika jamii zinapaswa kutatuliwa kwa mazungumzo na maridhiano badala ya migogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Juni 18, 2026, amesema historia inaonesha kuwa hata uhuru wa Tanzania ulipatikana kupitia mazungumzo.
Hananja amesisitiza kuwa amani ni tunu muhimu inayopaswa kulindwa na kila Mtanzania, akionya kuwa kuvunjika kwake huwaathiri zaidi watoto na wazee.
Aidha, ametoa wito wa kutafuta suluhu za tofauti kwa ustaarabu huku akieleza kuwa kujenga amani ni kazi ngumu lakini kuiharibu ni jambo la muda mfupi.