Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Tupo mtumishi, mbona haukunipa mwaliko nije nisasambue harusini?Ivi akina Evelyn salt, heaven sent wapo????
Wewe hitasahaulika kwenye sadaka, jiandaeTupo mtumishi, mbona haukunipa mwaliko nije nisasambue harusini?
Mke wa ngapi huyo?Sasa nimeoa na nitawatumia pcha
Mtumishi ana mambo huyuWewe hitasahaulika kwenye sadaka, jiandae
kuna masomo mazuri nimeandaa kaeni mkao wa kupokea. kila alitajae jina la Bwana na auache uovuMtumishi ana mambo huyu
mbona swali langu hujibukuna masomo mazuri nimeandaa kaeni mkao wa kupokea. kila alitajae jina la Bwana na auache uovu
jaman swali gan mwanangumbona swali langu hujibu
hapo juu post namba tatujaman swali gan mwanangu